CHASHA FARMING
JF-Expert Member
- Jun 4, 2011
- 7,967
- 9,546
Hii mada ni ngumu mkuu kama unezoe za mipasho sio rahisi kuelewa kitu hapasasa unatakaje tusirare au
Wanalala tena sana, Africa. kama hulali hayo masaa maana yake unatoka kazini unaelekea nyumbani na utafika saa 4 au 5.Hivi dunia ya leo kuna watu wanaolala masaa 8 kweli?
Mbona wengine hata masaa manne hatuyapati?
Yeshuu utaratibu unafuatwa na wasomi!!!! waliojiajiri kamwe hawafuati huu utaratibu ndo maana wengi wanafanya kazi mpaka saa3 usiku..... wengine mpaka siku ya jumapili na sikukuu!!!!! 0
ukweli ni kuwa muda ni utajiri
Nani akaukize?Hiyohiyo unayoita miaka 8 kuna mwenzio kaajiriwa private nzuri, anazikamua kwa dolari mwisho wa mwezi na anamake life ya kutosha duniani,
Tatizo sio muda, KAULIZE TU KAMA MSHAHARA WAMEONGEZA JULAI HII AMA VIPI?
Kulipwa kwa Dola ndo nini ndo utajiri? Hahahaa pale Arusha wakati wa UN wati walikuwa wanalipwa kwa USD where are they now?Hiyohiyo unayoita miaka 8 kuna mwenzio kaajiriwa private nzuri, anazikamua kwa dolari mwisho wa mwezi na anamake life ya kutosha duniani,
Tatizo sio muda, KAULIZE TU KAMA MSHAHARA WAMEONGEZA JULAI HII AMA VIPI?
Mara nyingi mambo kama haya huwa kuna Kundi fulan huwa hawataki kusikia ni kama ina ingilia mamboKupanga ni kuchagua kila mtu na utashi wake....tunatofautiana malengo na mtazamo wa maisha kiujumla.....PAMBANA NA HALI YAKO
Sent using Jamii Forums mobile app
Mkuu naweza kuja PM unishauri zaidi? Mara nyingi nimekua mfuatiliaji mzuri wa mada zako; naona kila mara unani-tourch kwa kiasi kikubwa mkuu.....Kulipwa kwa Dola ndo nini ndo utajiri? Hahahaa pale Arusha wakati wa UN wati walikuwa wanalipwa kwa USD where are they now?
Ishu sio kulipwa ishu je wewe masaa 24 unayatumia vipi kwa kazi zako au kazi za wenzako?
Sent using Jamii Forums mobile app
Kumbe kamekopina kupesti [emoji3] [emoji3]Nimecheka sana aise, umenikumbusa mbali hii story nili ipata 2014
Hahahaha Mkuu Umetisha.Sasa unatafuta vita wewe sisi huwa hatutaki kusikia vitu hivi,
Sisi tuletee story za ngono na udaku,
Sisi tuletee discussion za sizonje na lissu,
Sisi tuletee story za wema kaachwa na diamond anamchukua,
Mkuu tafadhali sana tena jiheshimu sisi tunataka kujua kiba na mondi nan mkal
Mkuu hivi una akili kweli kutuambia hayo mambo yako kwani umeshindwa hata kutuma picha za vigodoro kina dada wanamwaga radhi,
Sijui umetuonaje mkuu mpaka unaleta story zako hizo sisi tunataka kusikia kama ommy dimpoz ni shoga au vip,
Hivi kwanini hukuleta hata story ya mimba ya wema kutoka tena si walikuwa mapacha eee hiyo hujaona au dharau,
Bas acha yote huwezi kuongelea hata ivan don na kuzikwa na pesa,
Anyway hayo yote juu umeshindwa lalamikia basi hata mitandao ya simu kwamba bando hazitoshi hatuwezi tena kustream online video za ngono
Mkuu bhana unaboa sana kutuletea vitu tusivyotaka kusikia