damian marijani
JF-Expert Member
- Jan 31, 2010
- 695
- 466
Siku hizi ni kawaida kuona waandishi wengi wanapochanga l na r katika habari zao. Kwa wale ndugu zangu wanaotokea kule kwa wababe yaani East of Lake Victoria wao hawana l katika msamiati wao. Hebu ona ninayoyakumbuka:
Rose - Lozi
Florah - Frola
Bakari - Bakali
Leo - Reo
Frank - Flank
Blues - Bruuz
Na wewe ongezea yako!
Rose - Lozi
Florah - Frola
Bakari - Bakali
Leo - Reo
Frank - Flank
Blues - Bruuz
Na wewe ongezea yako!