Angalia sababu ya mke Mtarajiwa kuzimia kabla ya harusi

Francis Mawere

JF-Expert Member
Nov 17, 2015
958
830
*Jihadharini* na wachapaji wa kadi za harusi. Hakikisha unasoma maandishi yaliyochapwa kabla ya kadi kuchapwa na kusambazwa!
Mchapaji aliombwa aweke 1 Yohana 4:18 katika kadi ya harusi lakini mchapaji kwa makosa aliweka Yohana 4:18.

1 Yohana 4:18 panasema, "Katika pendo hakuna hofu, lakini pendo lililo kamili huitupa nje hofu…"

Lakini Yohana 4:18 tunasoma, "Kwa maana umekuwa na waume watano, naye uliye naye sasa siye mume wako."

_MKE MTARAJIWA AKAZIMIA HAPA, TUNAMPEPEA_
 
Yaani hili swala ni kweli kuzikagua kwanza, mimi nilipeleka kuchapa kadi za mwaliko ktk harusi yangu sasa nikamwambia akichapa ya kwanza anitumie picha watsap kabla hajatoa kopi na kubandika kwenye kadi matokeo yake akakaidi kunitimia akabandika kwenye kadi 350 zikiwa na makosa, akaanza 1
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom