Angalia Rais wa Tunnis alivoficha Mapesa!

Angalia Rais wa Tunnis alivoficha Mapesa!

Sasa hapa unachoshindwa kuelewa ni nini?

Lengo langu ni: Watu wasimuandame huyo aliyekuwa RAIS kwa sababu alikuwa Mu-Islaam.

Hapa JF na Tanzania, imekuwepo hiyo tabia ya kuwaandama Marais Wa-Islaam. Hii tabia IFE.

Mmiliki Dowans akagua mitambo.
dowanmmilikisuleiman.jpg

Hii hapa wala sio mkanda wenyewe wa picha nzima ambayo Riziwani Kikwete na January Makamba walijitosa kuucheza kuwasaidia wazee wao na maswahiba kwenye kwenye hii kashfa nzito, mnachokiona hivi sasa ni utangulizi tu!!

Huyu Bilionea wa kuchonga analipwa posho kubwa ajabu kwa thamani ya dola kwa ujio wake kuja kucheza sehemu hii kwenye mkanda mzima ambayo kiuhakika DINI YAKE na ile ya wenyeji wake hairusu hata kidogo.

Jicho la tatu la jumuiya ya kimataifa pengine nao wakafikiria kusajili waungwana wote hawa na wengine wengi tu kwenye msururu mzima kwenda "Holywood" kuucheza uzuri zaidi picha hii.

Waziri kivuli wa Nishati na madini tafadhali fungua macho zaidi na ujitahidi kuona!!!

Lengo lako ni nini?
 

Du ikulu iligeuzwa benki kuu ama kweli viongozi wa bara hili wamelaaniwa,ni sawa na mzazi ambaye anaenda kujichana kwenye mahoteli huku nyumbani familia yake inaponea maembe,sijui kuna raha gani unapoona raia wako wanaishi katika hali ya umasikini mkubwa na wewe kama kiongozi unakuwa na mimali namna hiyo haya tumeona huyo wa Tunisia ,kaja wa Misri ,atafuta wa Libya na ninadhani ni viongozi wote wa bara hili wote wanaishi maisha kama ya hao wenzao waliondolewa madarakani,lakini pia si tuangalie hivi vi EPA vya bongo,meremeta ,kiwira ,kwa hiyo hata hapa bongo hayo tliyoyaona huko maghreb si ajabu yapo
 
Last edited by a moderator:
Sasa hapa unachoshindwa kuelewa ni nini?

Lengo langu ni: Watu wasimuandame huyo aliyekuwa RAIS kwa sababu alikuwa Mu-Islaam.

Hapa JF na Tanzania, imekuwepo hiyo tabia ya kuwaandama Marais Wa-Islaam. Hii tabia IFE.
Marais Wa-Islam ndio nini...! Wawaandame ili iweje?
 
Ukiona hivyo ujue viongozi wote wa Africa wana makabati nyumbani mwao ya kutunzia manoti kama hayo, unajua wakikutana huko kwenye mikutano yao wanafundishana pia jinsi ya kufanya ufisadi.

Tutakwenda kuzitafuta mpaka uvunguni, nyie subirini. Time is ticking..............
 
Back
Top Bottom