Angalia mwezi ujue tabia zako!!

Mmmmh! Huo utafiti cjui umefanyikia wapi
 
October moja hapa..naenda na wakati wa muda au wakati wa fashion??
 
July hapo ni kweli maana me ninakipaji cha uchoraji ...
 
Kama kweli vile team June,ingwaje pia sifa zetu zingine kama naziona kwa group zingine:smile:
 
hiv April c ndio cku za wajinga. duu, unakuwa Genius kwenye mwez wajinga hahaha tam sana
Hahah na kweli mi na mtu wa karibu amezaliwa april 28 upstairs kuna mashaka sana!!...Hizi tabia haziwezi kufanana kutoka kwa mtu mmoja kwenda kwa mwingine.Hakuna scientific proof,,,just for fun if it fell or ur favour or just to piss off other people..otherwise I'm cool with my June!!
 
mh! kimbembe! mie ni januari..so ina maana mimi ni jasiri na mkorofi?? jamani hii inalipa kweli?hhahahahah! ngoja nijiscan nijue ni kweli au uzushi tu!
 
machi inanihusu kinomanoma...
 
Yes team November, tangu nianze kuangalia hizi tabia kwa watu tofauti sijawahi kuta tofauti na hii. And its true i have these features
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…