Angalia mwezi ujue tabia zako!!

Jun:mwenye mvuto wa mapenzi na kiu ya kujua mambo

kuna kaukweli fulani kwa upande wangu , japo ningependa kuwasoma hao wanajune wenzangu.........

 
August yan sawa kabsaaaa
 
Upuuzz mtupu!! Full uchawi changanya na ushirikina!! Hakuna lolote!! Shekh Yahaya mwenyew alishindwa kutabiri kifo chake
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…