Angalia mlinzi wa Prof. Lipumba alivoingia ukumbini

Sio kila mtu anafaa kuwa kiongozi.

Hata vyombo vya habari visipoonyesha matukio kama haya social networks zitafanya hii kazi na CCM itambue tu social media ndio zitakazotumika kuelimisha na kuwafumbua macho watanzania ambao bado wamelala na hatimae zitasaidia kuitoa CCM madrakani kupitia sandaku la kura unless waendelee kukuataa tuwe na Tume Huru.

Naamini mpaka kufikia 2020 idadi ya wanaotumia mitandao itakuwa imeongezeka kwa kiasi cha kutosha kusaidia kuleta mabadiliko.
 
Binadamu ni viumbe wa ajabu sana. Angalia alivyo ingia ukumbini kwa ubabe na kama vile hakuna kitu anaogopa hapa duniani. Lakini mwangalie tena katika ile clip akiwa nje akupokea kipondo alivyokuwa analia na kubembeleza wasimuue, ni watu wawili tofauti kabisa, mtu mmoja ambaye nafsi moja ni mbabe na nafsi nyingine mwoga kabisa.
Hili watu wote waovu wanapaswa kujifunza kuwa ubabe haulipi, na kuwa kujifanya mjuaji kuna wakati utajikuta kona mbaya nawe utategemea huruma ya watu.
 
Kwa kweli hilo ni somo hata kwa viongozi wanaowaonea wananchi kwa kuwa tu wana dhamana ya uongozi na mamlaka ya kuamuru jambo. Yawapasa kujua kuwa ipo siku hawatakuwa na amri hiyo, watabaki wanabembeleza na kulialia kama huyu mungiki wa Lipumbav.
 
Hahahaha yaani wana comment sawa n Daktari wa Sheria aka Waziri wa Habari Leo.
Waziri yule wa usanii alidai ripoti ya uchunguzi ya Nape haikusikilizaupande wa pili.
Alipoulizwa na Nassari kuhusu yeye na tume yake kutomsikiliza Lowassa akadai eti katika hatua ya uchunguzi si lazima kusikiliza upande wa pili.

Nilijiuliza sana huyu mtu mwenye PhD lakini hata common sense hana ana faida gani duniani? Yeye anachojua tu ni majigambo. Alitakiwa kuwa mwigizaji wa filamu za Bongo Movie. Tasnia hiyo ange-excel tu kama Ray Kigosi.
 
Back
Top Bottom