Angalia manufacturing date

Angalia manufacturing date

Bavaria

JF-Expert Member
Joined
Jun 14, 2011
Posts
53,109
Reaction score
53,632
ImageUploadedByJamiiForums1436110643.051906.jpg
 
Dawa gani hiyo mkuu tuipishie mbali??!!
 
Hiyo dawa hailipiwi kodi nini maana naona all tax inclusive.

Kweli forward manufacturing.
 
Kuna makala niliaangalia kwenye Aljazeera Tv nilichoka kabisa yaani India inaongoza kwa kutengeneza dawa feki na wanatumia njia za kimafia kuziingiza sokoni
 
Kuna makala niliaangalia kwenye Aljazeera Tv nilichoka kabisa yaani India inaongoza kwa kutengeneza dawa feki na wanatumia njia za kimafia kuziingiza sokoni

Hawana documentary youtube uiweke tuione?
 
Mpwa wangu Elli njoo uone vituko huku.
 
Last edited by a moderator:
Ngoja niipekue..nikiiona nitaiweka hapa yaani utakosa ushujaa wa kununua dawa za India hata ukiiambiwa ni halisi

Angalia hizi



 
Last edited by a moderator:
Back
Top Bottom