Angalia maisha yako ya sasa, yalinganishe na miaka 10 iliyopita kisha visualize miaka 10 ijayo utakuwa wapi

Yote ni ubatili mtupu...ridhika na kile ulichonacho kama unakula, unakunywa, ,unavaa na unalala kwa amani piga goti sema asante Mungu
 
Yote ni ubatili mtupu...ridhika na kile ulichonacho kama unakula, unakunywa, ,unavaa na unalala kwa amani piga goti sema asante Mungu
Mimi ningependa watu wa-focus zaidi kwenye value ya maisha. Not just mere papers.

Ipo siku utakuja kugundua hizo hela ni mikaratasi tu, useless.
 
umeyumba kidogo,ila asante kwa kutukumbusha.

hapa ni kama umewatenga wenye 20s kwamba bado wana nafasi.waambie tu ukweli kwamba hawaijui kesho yao.

unawezaridhika kwamba aaargh 30 bado,wacha nile maisha.unafikisha 30 unafukuzwa kazi.kwahiyo kujipanga anza sasa na pale ulipo.
 
I made a mistake I lost alot... But I won't accept defeat 10 years from now... I'll be might in this land...

Sisikilizi Maneno ya wanaokatisha tamaaa...Wala watakao Ni judge kwa makosa yangu ya Nyuma...

Forward ever backwards never.
 
Mungu kakupa akili ana sababu yake, sio kukaa tu muda wote unasali, kumbuka hata wanyama hutafuta chakula kwa jasho huko misituni, sembuse sisi tuliopewa akili za ziada, huwa nawacheka sana watu wenye kauli za kipumbavu kama, hii dunia tuliikuta tutaiacha, hapa ndio kisingizio chao hili cha kutojibidisha.
Mediocre mindset...
 
Ni ipi mantiki ya kumtaja Mungu inapoongelewa mada ya mafanikio/utajiri/uchumi ??

Kwanini sioni akitajwa Mungu inapozungumziwa Kula matunda/kulala/kuendesha magari/kufanya mazoezi/KuLike/Nyuzi za picha za miji/ Wasafi na Konde gang nk kote sioni sentensi za namna hii Once mtu akitaja mafanikio/utajiri Mungu atatajwa na Kifo... WHY THAT??
Mimi namtumikia Mungu Sana..lakini sikusudi la Mungu...Mimi winning sperm niwe Fakiri...niwe ombaomba...

Nabadilisha mindeset yangu.. nabadilisha Mambo nayosoma... nabadilisha mtazamo Wangu.. nabadilisha marafiki ZANGU..nabadilisha vitu nangalia.... I position myself for success....

Siwezi ishi maisha yangu in kimediocre eti kwasababu ntakufa.... I will die and live a Legacy that will live.

Diet is not only what you eat... unasikiliza Nini...unasoma Nini..unaangalia Nini?
 
Back
Top Bottom