sky soldier
JF-Expert Member
- Mar 30, 2020
- 5,408
- 19,032
Kama kuna kitu unafanya naomba uachane nacho kwa dadika 3 tu, usome hii post kwanza.
Sijui financial status yako lkn angalia maisha yako ya sasa, yalinganishe na miaka 10 iliyopita kisha visualize miaka 10 ijayo utakuwa wapi. Kama unakosa majibu mazuri jua tu bado unacheza.
Miaka 10 ni MINGI sana kuweza kuona matunda ya uwepo wako duniani. Watu wote walioacha alama duniani walihitaji at least miaka 10. Waangalie kina CR7 na Messi, angalia founders wa unicorn companies kina Elon, Larry Page etc, angalia wanasiasa km Putin, Angela Merkel nk. Angalia BTC in 10 yrs. Diamond alikua Tandale 2008, up until 2018 alikua amefika global stages. Mifano ni mingi sana;
Tupo hapa 2021, tutakuja kukutana tena 2031, je utakuwa wapi? Kuna mtu anasoma hii post ana miaka 30, jua tu miaka 10 utakuwa 40 yrs. Imagina upo 40s unagombania daladala na wanafunzi wa form 3, unaishi chumba cha 50K, upo ktk zamu ya wapangaji ya kusafisha choo 😥
Leo unaweza kujiona mjanja, unakimbizana na vitoto Kidimbwi, unajisifia umekalewesha bia ukakachapa goli ma3, unajisifia vitu vya kijinga. Unajiona mtoto at 26 yrs, so una-prioritize kwenye vitu vya kijinga, miaka 10 kutoka leo hautakuwa mtoto tena. Jamii itataka ione value of your age, hakuna mtu atakua excited na ww eti kisa kuna siku ulimlewesha mtoto wa watu ukamkamua vitatu. Wote tunajua ule ulikua utoto, lakini sasa hivi una miaka 36 tuonyeshe umefikia wapi.
Unachokifanya LEO either ni jambo la upuuzi au jambo la maana, miaka 10 itatuambia, na wala hatuhitaji kukuuliza, vitu vinaongea vyenyewe. Guys miaka 10 tunayoizungumzia sio mingi sn, si unakumbuka juzi tu tulikua unakula mwaka mpya, leo tunaitafuta April. Km leo unachekwa jiwekee miaka 10 watafute waliokua wanakucheka, wallah huko baadae tutakua tunakwepana kutokana na aibu. ANZA LEO ili 2031 uwe na cha kutuonyesha.
Credits: Sirjeff Deniis