Kuweka picha/avator na majina yako ya ukweli JF ....Ni maamuzi magumu
Umekosa biashara zote za kufanya umeamua kuuza madawa ya kulevya .....Ni maamuzi magumu
Umeacha kuoa makabila yote ukaenda kuoa mwanamke wa Singida au Mbulu...Ni maamuzi magumu
Kumruhusu Mkeo wa kizaramo kwenda ngomani after every 2 weeks ....Ni maamuzi magumu
Kutoa ushuzi kwenye vyombo vya usafiri wa umma unaonuka kupita kiasi....Ni maamuzi magumu
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.