shabaan Dogo
Senior Member
- Apr 27, 2014
- 196
- 82
Watanzania na maamuzi magumu;
(1) Huna uhakika wa kula na elfu1 pekee uliyo nayo unaamua kuinywa KIROBA-ni maamuzi magumu.
(2) Huna kitanda wala godoro unaamua KUOA-ni maamuzi magumu.
(3) Huna uwezo wa kumlisha mkeo kazi na kumjaza MIMBA-ni maamuzi magumu.
(4) Shule haina WAALIMU una mpeleka mwanao-ni maamuzi magumu.
(5) Dala dala imejaa hadi mlangoni unaamua KUPANDA- ni maamuzi magumu.
(6) Unalipwa laki 2 una muhonga HAWARA laki1- nimaamuzi magumu.
(7) Mdada unaweka Brazillian ya laki 7 MSHAHARA laki 2- nimaamuzi magumu.
(8) Kufanya mtihani wakati unajua UTAFELI- nimaamuzi magum.
(9) Unaowa/ kuolewa bila kupima VVU -nimaamuzi magum.
(10) Unakubali uvivu wa kufanya kazi uendeleze maisha yako. Unazunguuka huvyo ukitegemea kwamba ipo siku UTAOKOTA fuko la hela-nimaamuzi magumu.
(11) Kama utasoma hapa na kushindwa kuweka maamuzi magumu unayo yajua utakua na mamuuzi magumu mnoo!
Sent from my BlackBerry 8520 using JamiiForums