Ungeipeleka hiyo soda kimyaa kimyaa hadi kiwandani ungelipwa kwa usumbufu uliokupata,lakini kwa ujinga na umbeya usipokuwa nao umeharibu jina la kampuni hawatakulipa hata ukienda. Zaidi ya hapo watakushitaki kwa kutia uchafu huo na kuwaharibia biashara yao. Kweli akili ni nywele kila mtu ana yake!
mkuu hicho kiganja cha mkono daaah!
Haya matukio yako mengi. Binafsi ishatokea mara moja tena ilikua ni pepsi.Usifkiri kila mara mtu unataka kutake advantage. I only wanted to shed some light to the hitherto clueless. Like you said,tunatofautiana that is only as far as your brains could go. I went beyond that. If at all i had the time to juggle btn my stuffs and ths,I would've rather attempted a lawsuit nt for the money but to set precedent.
mkuu hicho kiganja cha mkono daaah!
Kiganja kimefanya nini?
Hatari aisee...
Hii soda nimenunua hata haijafunguliwa..kuna visoda na mauchafu ya ajabu.
Huo ni ule uchafu tunaouona kutokana na oversight ya industrial process. Swali,vipi ule tusiouona?chemical defects?etc?View attachment 110846
Nasikia kuna jamaa amewahi kuta kondomu kwenye soda....