kuna kabila furani la mpakani mwa singida na tabora wanaitwa watatulu.Vp la kingoni au kisambaa?
wawekee tena chukua ile ya wanyantuzu watoto walio umbika kila sehemu.teh teh teh teh. Nkuwekee pcha za wasukuma?
jinsi kulabel ndo utata sasaMbona mnapenda sana kulabel wanawake tuuu . . . . . .kwani wanaume hawana makabila????????? Khaaa!!!!
usijali patna wangu...
Mtandaoni wapi bhana na umeitoa humu humu jf? ngoja nikuwekee Link sasa hivi...
Nenda kwenye hiyo link utaona nilichokisemainawezekana ulisambaa,lakin mimi sikutoa apa,turudi kwenye mada we unaona ni kweli au siyo
Nenda kwenye hiyo link utaona nilichokisema
Na mimi sichangii.
Kesho ntachora makabila mengine. Mkuu pendekeza mengine mawili niyachore...
Umeitoa hapa...
https://www.jamiiforums.com/mahusia...u-aliyechora-hii-picha-ningemkata-makofi.html
Mkuu Tuko njoo umtie makofi huyu jamaa...
Inaonekana watu wameimaind...Tuwekee ya wangoni, wapare, wanyaturu na wasukuma ili tuwaone ndg zake Evelyn SaltKesho ntachora makabila mengine. Mkuu pendekeza mengine mawili niyachore...