Angalia beach za wenzetu | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Angalia beach za wenzetu

Discussion in 'Jamii Photos' started by Facilitator, Sep 7, 2012.

 1. Facilitator

  Facilitator JF-Expert Member

  #1
  Sep 7, 2012
  Joined: Oct 30, 2010
  Messages: 2,288
  Likes Received: 802
  Trophy Points: 280
  Can you really believe these??

  [​IMG]

  [​IMG]
  [​IMG]
  [​IMG]
  [​IMG]
  [​IMG]
   
 2. R

  Rebel volcano JF-Expert Member

  #2
  Sep 7, 2012
  Joined: Jun 1, 2012
  Messages: 404
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  hii ni raha ama karaha??!!!
  ni nani asiejua sauti kali na inayoumiza ya ndege inapotua au inapopaa??!!
  hapo kama umeenda kupata(peace of mind)si utarudi umechizika,hilo beach halipo kiamani kabsaa uweke katika akili yako kuwa ndege moja ikidondoka hapo inauwa wote waliopo hapo!!!ya nini kujihatarisha,nadhani tuna beach nzuri na za kuvutia sana tu kuliko hiyo,hako ni kakisiwa kadogo sana na hawakuweza kuepuka kuweka air port karibu na sehemu hiyo ya ufukwe kutokana na udogo wa kisiwa hicho!!
   
 3. nyabhingi

  nyabhingi JF-Expert Member

  #3
  Sep 7, 2012
  Joined: Oct 12, 2010
  Messages: 10,896
  Likes Received: 5,358
  Trophy Points: 280
  Pichaduka...
   
 4. Safari_ni_Safari

  Safari_ni_Safari JF-Expert Member

  #4
  Sep 7, 2012
  Joined: Oct 5, 2007
  Messages: 22,458
  Likes Received: 5,844
  Trophy Points: 280
  Maho Beach is a beach situated in St Maarten in the Netherlands Antilles, on the Dutch side of the island. The location is known worldwide because of the Princess Juliana International Airport that is situated immediately adjacent to the beach.++

  [​IMG]
   
 5. Safari_ni_Safari

  Safari_ni_Safari JF-Expert Member

  #5
  Sep 7, 2012
  Joined: Oct 5, 2007
  Messages: 22,458
  Likes Received: 5,844
  Trophy Points: 280
  [​IMG]

  Jamaa wanafurahia kabisa

  [​IMG]
   
 6. Mzee wa Rula

  Mzee wa Rula JF-Expert Member

  #6
  Sep 7, 2012
  Joined: Oct 6, 2010
  Messages: 8,177
  Likes Received: 89
  Trophy Points: 145
  Duuuuuh ni hatari sana tatizo lolote la ndege linaweza kuleta madhara makubwa sana kwa binadamu hapo.
   
 7. m

  markj JF-Expert Member

  #7
  Sep 7, 2012
  Joined: Jul 6, 2012
  Messages: 1,756
  Likes Received: 364
  Trophy Points: 180
  photoshop kabisa hiii
   
 8. MATESLAA

  MATESLAA JF-Expert Member

  #8
  Sep 7, 2012
  Joined: Aug 11, 2011
  Messages: 1,252
  Likes Received: 6
  Trophy Points: 0
  Aisee ndege ya pili ni klm (kilimanjaro) imefufuka???
   
 9. Safari_ni_Safari

  Safari_ni_Safari JF-Expert Member

  #9
  Sep 7, 2012
  Joined: Oct 5, 2007
  Messages: 22,458
  Likes Received: 5,844
  Trophy Points: 280
  Kweli? Hapo Princess Juliana International Airport na mimi nimefika

  [​IMG]
   
 10. Safari_ni_Safari

  Safari_ni_Safari JF-Expert Member

  #10
  Sep 7, 2012
  Joined: Oct 5, 2007
  Messages: 22,458
  Likes Received: 5,844
  Trophy Points: 280
  [​IMG]
   
 11. Dotworld

  Dotworld JF-Expert Member

  #11
  Sep 7, 2012
  Joined: Aug 10, 2011
  Messages: 3,929
  Likes Received: 143
  Trophy Points: 160
  aritoine

  Haya .. nyabhingi wewe unataka kubisha?! ... sasa na hii hapa chini ni nini?! ... videoduka?!
  "Videoduka" nyingine hii
   
  Last edited by a moderator: Jan 4, 2016
 12. Ngangasyonga

  Ngangasyonga JF-Expert Member

  #12
  Sep 7, 2012
  Joined: Sep 13, 2010
  Messages: 456
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Hapa Bongo ndege ikiwa jirani hivyo, tutakimbia hadi tuvunjane mamiguu, ni balaa!!
   
 13. nyabhingi

  nyabhingi JF-Expert Member

  #13
  Sep 7, 2012
  Joined: Oct 12, 2010
  Messages: 10,896
  Likes Received: 5,358
  Trophy Points: 280
  seeing is believing mkuu..umeniconvince
   
  Last edited by a moderator: Jan 4, 2016
 14. Philipo Kidwanga

  Philipo Kidwanga Verified User

  #14
  Sep 7, 2012
  Joined: Jul 12, 2012
  Messages: 2,063
  Likes Received: 2
  Trophy Points: 0
  anatishika na ndege.
   
 15. Philipo Kidwanga

  Philipo Kidwanga Verified User

  #15
  Sep 7, 2012
  Joined: Jul 12, 2012
  Messages: 2,063
  Likes Received: 2
  Trophy Points: 0
  huyo bonge kwenye fensi mbona kama taahira.
   
 16. cacico

  cacico JF-Expert Member

  #16
  Sep 7, 2012
  Joined: Mar 27, 2012
  Messages: 8,392
  Likes Received: 130
  Trophy Points: 160
  so sweet! kweli cc tuko very behind, wagonjwa tu muhimbili wanalala chini, ndiyo itakuwa airport pembezoni mwa bahari??
   
 17. s

  silent lion JF-Expert Member

  #17
  Sep 7, 2012
  Joined: Feb 28, 2012
  Messages: 538
  Likes Received: 95
  Trophy Points: 45
  ya kweli brother hii fuatilia wikipedia utapata habari zake
   
 18. s

  silent lion JF-Expert Member

  #18
  Sep 7, 2012
  Joined: Feb 28, 2012
  Messages: 538
  Likes Received: 95
  Trophy Points: 45
  sio chizi mkuu, ni jet blast hiyo angalia na hao kina dada
   
 19. Mwanahisa

  Mwanahisa JF-Expert Member

  #19
  Sep 7, 2012
  Joined: Jun 29, 2012
  Messages: 1,397
  Likes Received: 21
  Trophy Points: 135
  Cacico, sina tabia ya ukinzani wa fikra. Ila kujenga uwanja wa ndege kando ya bahari hakuna mahusiano na maendeleo, ni Jiografia tu ya sehemu flani na sababu za kiusalama zaidi. Vitanda vya wagonjwa Muhimbili linamkono wa mtu siwezi lizungumzia hapa liko mahakamani.
   
 20. R

  Rebel volcano JF-Expert Member

  #20
  Sep 7, 2012
  Joined: Jun 1, 2012
  Messages: 404
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  usilolijua ni usiku wa kiza!
   
Loading...