Angalau hii ingefaa kuingia kwenye maajabu 7 ya Dunia

Angalau hii ingefaa kuingia kwenye maajabu 7 ya Dunia

Manyanza

Platinum Member
Joined
Nov 4, 2010
Posts
21,739
Reaction score
57,177
Picha hii inaonesha Kichwa cha Ng'ombe katika tawi la mti wa mbuyu ni katika hifadhi ya taifa ya Selous, hii ingefaa kuingia katika maajabu 7 ya dunia kuliko mlima Kilimanjaro.

100_5284.JPG
 
nice pic kweli kabisa mkuu manyanza :juggle:

tatizo la viongozi wetu hawana utafiti wa kutosha halafu huwa hawataki kusikiliza wananchi wa kawaida, ingefaa sana hii
 
kweli bwana, kama kichwa cha ng'ombe.
 
Ngoja tuisubirishe kipindi kijacho: ila ni bora tuanze mapema kuipigia kura na tuzitunze.
 
Ngoja tuisubirishe kipindi kijacho: ila ni bora tuanze mapema kuipigia kura na tuzitunze.

hahaa mkuu, unacheza na Sirikali ya CCM, mwaka huu Mama Salma JK ndio alipewa kazi ya kuutangaza mlima Kilimanjaro, ona tulicoambulia
 
Haaa!Ama kweli duniani kuna maajabu......Je hakuna mbuyu unaofanana na viungo fulani vya binadamu huko?
 
Haaa!Ama kweli duniani kuna maajabu......Je hakuna mbuyu unaofanana na viungo fulani vya binadamu huko?

Kwa kweli Pepim,
Tunahitaji kuchunguza sana katika nchi yetu kwamba kuna vitu gani vya maajabu vinavyopatikana, Mlima Kilimanjaro ni wa kawaida hakuna lolote la ajabu ndo maana haijashinda!

Kuna vitu vingi sana vya ajabu naamini vipo nchini sema hatujavizungumzia ama hatujavigundua kama lile la daraja la Mungu linalopatikana huko Tukuyu!
 
Back
Top Bottom