Android Tv Box......


Mkuu Naomba Maelezo kidogo namna ya kuifanya desk top kuwa tv box
 
Mkuu Naomba Maelezo kidogo namna ya kuifanya desk top kuwa tv box
Mkuu kwenye windows/desktop Ni kupana Sana hivyo hakuna njia maalumu, inategemea na matumizi yako mwenyewe, unaseti kutokana na matumizi. Ila common Ni Kama.

1. Kutumia Kodi,
Huu Ni muonekano wa tv unaokuwezesha vitu Kama
-kuangalia TV za online
-kuangalia movies online na offline
-front end ya kucheza games etc
Kodi unadownload tu na kuinstall kwenye kwenye PC na kufanya configuration ipo Kama hivi


2. Plex,
Hii Ni media player na inaweza kuplay library ya vifaa vingi, ukiwa na Plex na vifaa vyote vikiwa connected on same wifi unaweza play media za simu, laptop, desktop, tablet, nas server etc kwenye Plex yako.


3. Emby
4. Steam etc

Na pia hakikisha desktop unayoitafuta inakula umeme kidogo sana, watts 35 kushuka.
 
Nashukuru kwa ufafanuzi mkuu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…