inategemea na aina hilo unatakiwa uliangalie ukinunuaSasa mkuu internet yake unatumia modem au??? Unaweka line kama cmu??
ni kama deki mkuu, wakati wewe kwenye deki unaeka cd hii tv box unakuwa unahifadhi mambo yako humo humo huna haja ya cd pia unaweza ukachomeka flash na external hdd.
yenyewe inakuwa kama simu na inaingia application za simu kama youtube, facebook na app zote unazozijua kwenye simu za kawaida kama hizi tecno na samsung galaxy.
hivyo fikiria ukitumia simu unachokiona kwenye kioo basi kile kile utakiona kwenye tv yako. utofauti wake na simu unakuja hizi tv box wamezibadilisha uweze kutumia remote badala ya touch ya simu.
uhuru nzima zipo zimejaa kibao madukani bei kuanzia laki 1Nimekuelewa chief kwa bongo zinapatikana wapi na bei yake inaendaje?
kila kifaa kina namna yake ya kutengeneza kama watengenezaji hawajaeka feature ya usb na modem usitegemee iwepo hivyo utatakiwa wewe mnunuaji uliangalie hilo kablaOut of box kivipi??
kwani haifai kupachika modem kawaida kama pc vile??
uhuru nzima zipo zimejaa kibao madukani bei kuanzia laki 1
Ping ni nn? Huwa nalisikia sana hili nenointernet itabidi utafute yenye ping ndogo na watu wanatumia kodi tayari tanzania na ipo fresh.
zipo website kama kaymu naziona zinauzwa around 200,000 tena brand zisizojulikana.
kama una uwezo wa kuspend zaidi ya 100,000 zunguka mjini tafuta desktop zenye maumbo madogo yenye hdmi ifanye iwe tv box. ila ushauri wangu usispend hadi 200,000 kwenye box la android ila dola $30 hadi $60 ni reasonable.
Ping ni nn? Huwa nalisikia sana hili neno
Aisee ww umefanyaje,mm ninayo na nimejaribu kutumia wifi lkn inasearch tu muda wote,ni kawaida kutumia muda mrefu kutafuta network?
yap unaweza ila hio sio out of the box itabidi uanzea mambo ya kuroot na kuanza kumod, mwisho wa siku unaweza ukakibrick kabisa.kwa wanaouliza Modem android tv box aina ya M8S ukiingia eBay utaoneshwa inaingizwa modem
Ila alternatively unaweza kutumia WiFi au LAN
Ila pia Chief Mkwawa kuna thread alisema Device yoyote inayo support OTG ina support 3G hope it applies here
inategemea na aina ya processor mfano magomeni zipo desktop za 4130T ambazo tdp yake ni 35W na ikiwa idle inakula umeme mdogo zaidi ya huo. pia zipo desktop za atom ambazo TDP Yake ni 2W tu even taa inakula umeme kuliko hizo desktop nyengine zipo kwenye umbo kama modem tu.
kuna advantage kubwa ya kuwa na x86 device hasa kama una mpango wa kucheza games au kufanya emulation. ukiwa na full browser kama firefox au chrome utafanya mambo mengi ukiangalia mpira huwi limited kwenye apps tu una njia nyingi kuanzia vlc, stream za online, kodi, acestream, sopcast, kodi nk pia x86 inaingia android hivyo unafanya dual booting incase utahitaji android tena unakuwa na choice kama remix os na phoenix os ambazo zipo optimised kwenye vifaa visivyo vya touch au unaweza kuweka android tv kabisa.
bei pia hazitofautiani sana zipo stick za atom kibao chini ya dola 100 na zipo kali za around dola 100 zenye option za ku expand.
hizo za magomeni ni lenovo m73 zinauzwa 300k
Leo nimezunguka k/koo nzima kuanzia Msimbazi mpaka Uhuru android tv box hakuna na wengi hawazijui mkuu..vp kuna duka spesheli unajua zinakopatikana?uhuru nzima zipo zimejaa kibao madukani bei kuanzia laki 1
zipo mkuu, mi nimeziona congo/uhuru kama unaenda msimbazi/uhuru ukipita tu kwa nje madirisha yao ya vioo unaziona. unless wana jina jengine wanatumia tofauti na tv box. pia wapo wauzaji wa onlineLeo nimezunguka k/koo nzima kuanzia Msimbazi mpaka Uhuru android tv box hakuna na wengi hawazijui mkuu..vp kuna duka spesheli unajua zinakopatikana?
Umeendelea kuthibitisha umahiri wako ktk hili jukwaa mkuu.nashukuru kwa maelekezo yako....nitafuatilia tena j3.halafu mahali zinapouzwa ni maduka ya computer au yale ya tv,deck,etc???zipo mkuu, mi nimeziona congo/uhuru kama unaenda msimbazi/uhuru ukipita tu kwa nje madirisha yao ya vioo unaziona. unless wana jina jengine wanatumia tofauti na tv box. pia wapo wauzaji wa online
MX4 Quad Core Android TV Box – Wi-Fi, Dar es Salaam699939
hio link ya online ni capricon wapo jamhuri na morogoro road.
computer mkuuUmeendelea kuthibitisha umahiri wako ktk hili jukwaa mkuu.nashukuru kwa maelekezo yako....nitafuatilia tena j3.halafu mahali zinapouzwa ni maduka ya computer au yale ya tv,deck,etc???
Poa kiongozi..nashukuru.computer mkuu
Ahsante mwl