Android Touch Screen spares | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Android Touch Screen spares

Discussion in 'Tech, Gadgets & Science Forum' started by Given Edward, Jul 3, 2012.

 1. Given Edward

  Given Edward Verified User

  #1
  Jul 3, 2012
  Joined: Jan 11, 2011
  Messages: 862
  Likes Received: 10
  Trophy Points: 35
  Habarini wakuu,
  Simu yangu ya Android imepasuka kioo. Touch haifanyi kazi. Nimeshindwa kugundua ni model gani kwa sababu nje haijaandikwa maker na ikiwaka ni ANDROID. Point ni kwamba, nitapata wapi sehemu watakayoweza kunifungia kioo kipya? Ipo kama adios. Nitashukuru SANA atakayenisaidia.
   
 2. m

  masssaiboi JF-Expert Member

  #2
  Jul 3, 2012
  Joined: Feb 10, 2009
  Messages: 637
  Likes Received: 13
  Trophy Points: 33
  Upo wapi?? Kwa Dsm kuna maduka mengi tu na Ars nenda Benson. Ila nijuavyo mimi gharama za touch screen ni bei ya simu mpya hivyo bora jipige na simu mpya tu
   
 3. Given Edward

  Given Edward Verified User

  #3
  Jul 3, 2012
  Joined: Jan 11, 2011
  Messages: 862
  Likes Received: 10
  Trophy Points: 35
  nipo dar. Cost ni kiasi gani?
   
 4. Given Edward

  Given Edward Verified User

  #4
  Jul 4, 2012
  Joined: Jan 11, 2011
  Messages: 862
  Likes Received: 10
  Trophy Points: 35
  jamani msaada tafadhali!
   
Loading...