wakuu naombeni msaada kiukweli napenda simu za android lakini naona android zote ni touch screen, kwahiyo kama kuna yeyote anajua cm za android ambazo zina batan za kawaida(ambazo si touch screen) anielekeze ni simu gani?(nokia. samsung. motorola. lg .tecno) si vibaya akitaja zinapouzwa na bei yake!