Kupitia uzi huu tujadiliane kuhusu operating system ya android. Jinsi ya kuboresha simu zetu.za android, tuulizane maswali wenye majibu walete. Tuambiane app nzuri na mambo kedekede kuhusu android
mimi pia nin hili tatizo na inamega betri c kitoto
Ingia Google af search tubemate utaipata.
Whatsapp ukifungua inatoa ujumbe gani, pengine inahitaji kabla ya kufungua ui update.
Guys nimefunga GPS ktk simu lakini bado inarun nifanyejeee
Inasema "your device does not support this application"
Ok fanya hivi
Google jinsi ya kuweka whatsapp kwenye nokia x,
Utapewa link za kudown load apk file ya whats app install,kisha fungua ,itakataa kufanya kazi,delete,then down load whats app plus apk file,install,open,endelea kuburudika na whats.muhimu kumbuka kuallow simu yako kupokea apps nje ya nokia store.
Au tafuta kuna uzi ulitupiwa humu jana jinsi ya kuweka whatsapp kwenye nokia x mkuu.
mimi sidhani kama hii App inamadhara ktk simu yako. Kama una wasi wasi sana hakisha una anti virus imara. Au icheki hiyo tubemate kupitia browser ya operamini utaipata original.
Nashukuru kwa ushauri, nimezitumia app zote mbili (moboginie na tubemate) kwa kweli zipo fresh sana. Eid njema!!
Mimi pia highest score yako ngapiiiii na multiplier pia...mi Leo nimefika multiplier ya 30 na score ni milioni laki mbili
mimi hata sielewagi najichezea tu lakini ni gemu nzuri sana. hiyo multiplier inakazi gani!? huwa inaiona
Wakuu mimi ni mgeni kwene aya mambo ya smart 4n. ila nikidownload iz application sim yangu imekua ikiniambia "For security, your phone is set to block installation of applications not obtain frm anroid market" kama ni mambo ya kuroot nairoot vp hii huawei y300. Natanguliza shukran.
Shida yangu ni radio.
Simu nyingi za adroid zinakuja bila radio.
Napenda sana kufutilia baadhi ya vipindi kwenye radio lakini sasa nashindwa kujua napataje hilo hitaji langu.
Nikitaka download ni app gani nzuri ili nipate radio nyingi za tanzania?