mkuu nahitaji msada wa kublock adds maana apps za free nnazotumia km goal.com ni had inaboa bt nashangaa most of apps za kulipia hzina adds
Mara nyingi waandaaji wa apps wanaruhusu kudownload bure kwa kuwa wanategemea adds ziwaingizie kipato. Kwa hiyo kama app inauzwa basi hakuna haja ya kuweka adds kwa kuwa kipato kinapatikana kutoka kwenye mauzo hayo.
kama ume root simu yako unaweza kureplace host file na custom file aliiweka humu Mwl.RCT ila uzi siukumbuki,
mkuu nahitaji msada wa kublock adds maana apps za free nnazotumia km goal.com ni had inaboa bt nashangaa most of apps za kulipia hzina adds
Kuna application ilikiwa inaitwa tubemate nilikuwa naitumia kudownload youtube videos&movies nimebadili simu nataka kuidownload tena lakini haipo playstore. Sijui nitaipataje. Kama kuna mtu anajua inapatikanaje anisaidie tafadhali.

Nenda mobango.com utaikuta

Hii tubemate naitafuta sana, sikumbuki version ila ilikuwa na MB kama 10 na zaidi. Kwenye Mobogenie, playstore na aptoide haipo zipo tubemate fake pia google nimeingia sijaipata. Maaada tafadhari.