Kutana jamaa mmoja anajiita njunwa wamavoko namba yale 0657209956 utapata internet ya Bure kabisa ali mradi uwe na hela ya kulipia server bei kwa android version 4 ni 8000/- karibu sana
Mkuu nina TAB yangu nshairoot start screen ina maneno ya kichina,camera inapiga kelele,widgets za kichina,Space remaining imeandikwa kwa kichina yaani full kichina naomba msaada wenu chief-mkwawaNingaR etc

kuchange lugha ni setting then unaenda language na input (ina icon nyeupe ina herufi A) then click menu ya juu kabisa ndio ya lugha cli k chagua english kama ipo