Njunwa Wamavoko
JF-Expert Member
- Aug 11, 2012
- 5,757
- 2,388
Haya ngoja watoto warudi kutoka skuli waje wanikorocholie simu yangu nami ipendeze!wengine tunaambiwa tu "baba hiyo nipe mimi wewe nenda kanunue hii nzuri zaidi "baada ya miezi kadhaa wanakunyanganya tena unaambiwa ununue nyingine na wao ndio wanfanya mabo yote ,hii kuzaliwa zamani tabu kweli wakati mwingine!
wape watoto wako kweli
navyo ipenda ubuntu nimeamua kuiweka kama interface