Android 10 update, zipi faida na hasara zake?

redcarpet

JF-Expert Member
Jul 25, 2014
204
250
Habari za leo wataalamu hizi kazi ni uhakika wangu popote mlipo mko vema na mnapambana vilivyo na haya maisha.

Nisiwachoshe sana na kama mnavyoona title yangu hapo juu nimeona ni vema nikawashirikisha kabla sijafanya chochote. Leo kama kawaida nimewasha simu nikakumbana na maelezo ya ku update cm yangu kutoka android 9 kwenda android 10.

Kabla ya kushusha toleo hili jipya ningeomba kujua kuna faida au hasara kwenye hii issue. Kuna mahali nishawahi kusoma wanadai android 10 inamaliza betri sana je kuna ukweli wowote

NawasilishaScreenshot_20200706-085348_Software%20update.jpg
 

Ramlis

JF-Expert Member
Aug 22, 2013
479
500
Mkuu jiandae kukumbana na matatizo kama;

1/ Touch kuacha kufanya kazi.

2/ Camera kuacha kufunguka.

3/ Software crash nk.

Pia inaweza isiwe na tatizo lolote utakapo isasisha kwenda android 10.

Ushauri angalia review kwanza online uone walio sasisha kwenda android 10 walikumbana na adha gani kwenye simu zao.
 

Erick96

JF-Expert Member
Mar 12, 2019
660
1,000
Kuna vitu kama security imeongezeka na mbwembwe tu.
Nime update leo asubuhi.
Kwenye picha hizo alama nyekundu zimezungushiwa ongezeko na hizo features
Screenshot_20200706-205754_One%20UI%20Home.jpg
 

mkorinto

JF-Expert Member
Jun 11, 2014
20,379
2,000
pia ukifungua developer option,kuna norch unaweza kuweka ktk simu za samsung sasa,inakaa chini na juu,au juu pekee na pembeni.
Screenshot_20200707-200506_Settings.jpg
 

Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Top Bottom