Hivi ni kosa kuomba msaada toka nchi nyingine kama vile UK, waongoze PCCB at least for 5yrs? Nionavyo mimi kwa uwezo (ufahamu) wa watalaam wetu na uoga wa kuthubutu PCCB haiwezi kuwakamata mapapa wa ufisadi. Ukifikiria issue ya Kagoda, Richmond, yule mzungu wa rada na akina Chenge, ni ushahidi tosha kwamba PCCB ovyo.
By Dolores Cowburn
A JERSEY bank account owned by a former Tanzanian minister could be investigated by the Serious Fraud Office, following the announcement of plans to prosecute British Aerospace.
A statement released by the SFO yesterday said that it intended to seek the UK Attorney Generals consent to prosecute in relation to alleged overseas corruption.
It follows the investigation carried out by the SFO into the business activities of BAE Systems in Africa and Eastern Europe.
It is understood that Tanzanias former infrastructure minister, Andrew Chenge, had £504,000 in a Jersey account that allegedly came from BAE. Mr Chenge was the poverty-stricken countrys infrastructure minister when it bought a £28 million radar system from BAE.
Jersey authorities, including the Jersey Financial Services Commission and the Joint Financial Crimes Unit, have previously refused to comment on the subject.
SFO wanafiki tu wangeanza na Claire Short
Namkumbuka sana Edward Moringe Sokoine!Nadhani tutaona jeuri ya 'Vijisenti' kama itafanya kazi yake kikamilifu mbele za SFO.
Achana na PCCB ya Tanzania inayofanya kazi ya kuwalinda wezi wa mali zetu na kusahau kuwa taifa hili ni letu na kuna siku tutalitia mikononi wenyewe! Soon, very soon...
Ingekuwa anayeshughulikia kesi hiyo ni Feleshi na wezake kina Hosea basi ujue ukweli ungepindishwa... Mkuu SFO wakifanya tunayoyaona Bongo basi nitaamini hakuna haki duniani...
Akiwa msafi na wamsafishe! Akipatikana na uchafu na wampakaze uchafu wake...!
Ama kweli kuishi kwingi kuona mengi....Jamaa vielelezo vyote hadi hiyo a/c inamnyooshea kidole, vilaza wetu ((((( sorry, viongozi wetu))))) kimyaaa!, na lijamaa bado linatesa!! Yaani sijui niseme nini, nimeudhika sana.
Sijui Tanzania ililaaniwa na nani, yaani nashindwa hata kuelewa hao wanaoiongoza wanalalaje usiku.
Wamuachie tu hela "zake".. Mbona wana CCM wenyewe wamemkumbatia kwenye chama chao? Kina Mwakyembe sasa ndio walitakiwa wapige kelele kuwa Chenge asimamishwe nafasi za uongozi ndani ya Chama kama wanapigana na ufisadi kikwelikweli...
Kwa kuwa
- - wapo wanaojiita wapinga Ufisadi lakini hawako tayari kuipiga vita CCM.
- - wapo wanaohusishwa na Ufisadi lakini wanaendelea kukukumbatiwa ndani ya CCM.
- - Uongozi wa juu wa CCM umeshindwa kuwashughulikia mafisadi ndani ya CCM.
- - wanachama wa CCM wanakataa mahusiano ya Ufisadi na CCM.
Naamini kuwa
- - anayepiga vita Ufisadi lazima awe tayari kuipiga vita CCM.
- - anayechukia Ufisadi lazima awe tayari kuikemea CCM.
- - anayeendelea kubaki ndani ya CCM anakumbatia Ufisadi.
- - anayeendelea kuiongoza CCM anabariki Ufisadi
Kidumu CCM, Udumu Ufisadi.
Now we're heading to somewhere!
Wamuachie tu hela "zake".. Mbona wana CCM wenyewe wamemkumbatia kwenye chama chao? Kina Mwakyembe sasa ndio walitakiwa wapige kelele kuwa Chenge asimamishwe nafasi za uongozi ndani ya Chama kama wanapigana na ufisadi kikwelikweli...
Can you imagine MPIGANAJI NUMBER MOJA wa UFISADI akiwa rais mwaka kesho watu wangapi watawekwa ndani?
Ka specialize kwenye Richmond, haya mengine hamjapa pesa na kamati ili ayafanyie kazi kwa hiyo hayajui na hayamhusu....ama amesha jijengea jina so ana angalia 2010...ndio siasa kaka...Kina Mwakyembe sasa ndio walitakiwa wapige kelele kuwa Chenge asimamishwe nafasi za uongozi ndani ya Chama kama wanapigana na ufisadi kikwelikweli...