By Dolores Cowburn
It is understood that Tanzanias former infrastructure minister, Andrew Chenge, had £504,000 in a Jersey account that allegedly came from BAE. Mr Chenge was the poverty-stricken countrys infrastructure minister when it bought a £28 million radar system from BAE.
.
Takbir!!
Wamuachie tu hela "zake".. Mbona wana CCM wenyewe wamemkumbatia kwenye chama chao? Kina Mwakyembe sasa ndio walitakiwa wapige kelele kuwa Chenge asimamishwe nafasi za uongozi ndani ya Chama kama wanapigana na ufisadi kikwelikweli...
Wakati nasoma ujumbe wako nimekuta natokwa na machozi pia.Wamuachie tu hela "zake".. Mbona wana CCM wenyewe wamemkumbatia kwenye chama chao? Kina Mwakyembe sasa ndio walitakiwa wapige kelele kuwa Chenge asimamishwe nafasi za uongozi ndani ya Chama kama wanapigana na ufisadi kikwelikweli...
Nadhani tutaona jeuri ya 'Vijisenti' kama itafanya kazi yake kikamilifu mbele za SFO.
Achana na PCCB ya Tanzania inayofanya kazi ya kuwalinda wezi wa mali zetu na kusahau kuwa taifa hili ni letu na kuna siku tutalitia mikononi wenyewe! Soon, very soon...
Look at this; it is well known that our country is poverty-stricken. However, same people colluded with our leaders to grab our money. May God punish all, our leaders, BAE officials and British politicians who supported the deal.
Njimba
Wamuachie tu hela "zake".. Mbona wana CCM wenyewe wamemkumbatia kwenye chama chao? Kina Mwakyembe sasa ndio walitakiwa wapige kelele kuwa Chenge asimamishwe nafasi za uongozi ndani ya Chama kama wanapigana na ufisadi kikwelikweli...
Now we're heading to somewhere!
Ingekuwa anayeshughulikia kesi hiyo ni Feleshi na wezake kina Hosea basi ujue ukweli ungepindishwa... Mkuu SFO wakifanya tunayoyaona Bongo basi nitaamini hakuna haki duniani...Jambo zuri nikuwa tunazikusanya facts....lakini tusitegemee chochote kufanyika dhidi ya Mzee wa vijisenti.....sana sana ni usanii kama unavyoendelea kwa akina Mramba............
Nemesis,Hivi ni kosa kuomba msaada toka nchi nyingine kama vile UK, waongoze PCCB at least for 5yrs? Nionavyo mimi kwa uwezo (ufahamu) wa watalaam wetu na uoga wa kuthubutu PCCB haiwezi kuwakamata mapapa wa ufisadi. Ukifikiria issue ya Kagoda, Richmond, yule mzungu wa rada na akina Chenge, ni ushahidi tosha kwamba PCCB ovyo.
No. I think they (UK) are heading somewhereNow we're heading to somewhere!