Andew Maganga: Nimejidhatiti kumng'oa Sitta Urambo kupitia CHADEMA

DALLAI LAMA

JF-Expert Member
Jan 31, 2012
8,651
2,627
Wanaukumbi,

Nimezaliwa Urambo na sasa ni wakati wa Babu Samwel Sitta kupumzika kwa mabaya na mema aliyoyafanya.

Ni maneno ya Andrew Paul Maganga mtangaza nia na mwajiriwa wa Tamisemi anayeieneza CHADEMA huko Urambo Tabora.

Kijana huyu yupo nyuma ya mafanikio ya makamanda wa CHADEMA ktk uchaguzi wa serikali za mitaa Urambo Tabora.

Ameeleza kuwa wana urambo wapo tayari kuutua mzigo Sitta uliokuwa umejikalia Dar muda Mrefu yeye na familia yake.

'Nasikia Babu kaenda jimboni leo kujipitishapitisha ila kwa bahati mbaya Shughuli yake na Magamba wenzake imeisha muda mrefu'.
 
Nampongeza sana, mwaka huu hata ukiweka jiwe lipambane na Sita, hakika jiwe litashinda.
 
Sitta ameshasema mwaka huu hataki tena ubunge bali anataka urais, na kama akitemwa urais na CCM basi atabaki Dar akitafuna mafao au atarudi Urambo kulima Tumbaku.
 
Six mpuuzi sana toka alipotokana viongiz wa dini nilimdharau sana huyo mzee.

Urambo inahitaji mabadiliko haswa, sasa anataka kuachia mama sita kama ubunge wa kuridhishana vile ala
 
Pigeni kazi makmanda nasikia analetwa mama Sitta si mchezo atakuja kununua kura

Ila muda wa ccm kuondoka unefika sasa
 
kama ni Maganga huyu aliyekuwa coordinator wa Basket Fund, DED Ilala na sasa siju DED wa wapi??? huyu anaweza
 
Mpeni support wakuu huko urambo. Ila akishindwa ujue na kazi imeisha kwani ukigombea upinzani ccm inahakikisha inakutoa kazini kabisa
 
maganga please tuma email yako ndugu tukutumie chochote maana huyu mzee ametukosesha haki yetu ya msingi ya kuiondoa nchi yetu chini ya katiba ya kifisadi please simu kama ikiwezekana.
 
PIGA CHINI HUYU MZEE NA LINUNDU USONI.Katiba pendekezwa ya warioba itamghalimu huyu misifa
 
Wanaukumbi,

Nimezaliwa Urambo na sasa ni wakati wa Babu Samwel Sitta kupumzika kwa mabaya na mema aliyoyafanya.

Ni maneno ya Andrew Paul Maganga mtangaza nia na mwajiriwa wa Tamisemi anayeieneza CHADEMA huko Urambo Tabora.

Kijana huyu yupo nyuma ya mafanikio ya makamanda wa CHADEMA ktk uchaguzi wa serikali za mitaa Urambo Tabora.

Ameeleza kuwa wana urambo wapo tayari kuutua mzigo Sitta uliokuwa umejikalia Dar muda Mrefu yeye na familia yake.

'Nasikia Babu kaenda jimboni leo kujipitishapitisha ila kwa bahati mbaya Shughuli yake na Magamba wenzake imeisha muda mrefu'.

Mkuu samahani huyu Andrew alikuwa ni mwl. Edmund rice sinon high school arusha ila baadae akahamia shule ya serikali, naomba nifaham kama ndio yeye.
 
Mbona taarifa zake ni finyu? Atume picha na C.V yake ...watu wamjue na ikiwezekana wampe sapoti
 
Ni yeye wakati wa uchaguzi serikali za mitaa tulimchangia pesa kwenda Urambo na kumekuwa na mafanikio makubwa hakika huyu kijana atamng'oa 6

Mkuu samahani huyu Andrew alikuwa ni mwl. Edmund rice sinon high school arusha ila baadae akahamia shule ya serikali, naomba nifaham kama ndio yeye.
 
Ni yeye wakati wa uchaguzi serikali za mitaa tulimchangia pesa kwenda Urambo na kumekuwa na mafanikio makubwa hakika huyu kijana atamng'oa 6

Asee kaka kumbe ni huyu jamaa, ana determination saana na hilo jimbo last time amenitembelea ofisin kwangu mwaka 2011 aliniambia plan zake za kumng'oa sitta urambo nikadhani utani kumbe yuko siriaz, pass my regards mkuu wangu.Ntamtafuta
 
sitta anatumikia kifungo cha miaka 60 ya kutochaguliwa kuwa kiongozi hii inatokana na kutupitishia katiba mbovu
 
Dallai lama please
Mwambie maganga atume CV yake hapa with direct phone number and emails attached please tunataka kuingia kazini huyu mzee tuna machungu naye jamani
 
Sawa mtafute tu zaidi anahitaji sapoti yako hasa kipesa!

Back
Top Bottom