Anderson Cooper: 'The fact is, I'm gay'

MaxShimba

JF-Expert Member
Apr 11, 2008
35,772
4,054
anderson-cooper-gay.jpg


"The fact is, I'm gay," Cooper wrote in an email to Daily Beast blogger Andrew Sullivan. "Always have been, always will be, and I couldn't be any more happy, comfortable with myself, and proud."

Anderson Cooper:
 
anderson-cooper-gay.jpg


"The fact is, I'm gay," Cooper wrote in an email to Daily Beast blogger Andrew Sullivan. "Always have been, always will be, and I couldn't be any more happy, comfortable with myself, and proud."

Anderson Cooper:
cooper1_uni_1341244113.jpg


Huyu jamaa amekuwa na tabia zisizo za kawaida na hata mvao wake wa t-shirt za kubana isivyo kawaida ya professional junalist vilikuwa vyanitia shaka, bora amejipambanua. Lakini si jambo jema kwa mtu mwenye kufahamika sana na kwa vyo vyote heshima yake sasa itaanza kupungua. Kwani pamoja na Marekani kutambua haki za mashoga lakini idadi kubwa ya watu hawapendi.
 
Alaaaaa, kumbe huyu jamaa ni chakula cha watu!!!!! Duh! Kaaazi kwelikweli.
 
The fact is; you look gay! Always!
Eeh Mungu, angalia na shiriki kwenye uumbaji kwenye vizazi vyetu!
 
OMG!!kumbe huyu jamaa ni punga?!nilikuwa sifahamu.hata hivyo he is a good Tv anchor.
 
CNN's Anderson Cooper came out in a letter online, saying "the fact is, I'm gay."

Cooper said Monday in a note to the Daily Beast's Andrew Sullivan that he had kept his sexual orientation private for personal and professional reasons, but came to think that remaining silent had given some people an impression that he was ashamed.

He said he couldn't be any more happy and comfortable with himself.

Cooper, the son of Gloria Vanderbilt, had long been the subject of rumors about his sexual orientation. He said that in a perfect world, it wouldn't be anyone's business, but that there is value in "standing up and being counted."
 
Hivi inawezekana hili ni 'tatizo' kubwa kuliko tunavyodhani!
 
Mhhh...ndio maana wazungu wanaleta misaada na some string attached to it.
 
huna haja ya kuweka mada kama hizi

Mkuu hii ilikuwa ni angalizo tu, kwani kama anchors wa mainstream media ambao watu wengi wana wachukulia kama ma role model wao wanaanza kutangaza huu ***** ujue tumekwisha!
 
Mkuu hii ilikuwa ni angalizo tu, kwani kama anchors wa mainstream media ambao watu wengi wana wachukulia kama ma role model wao wanaanza kutangaza huu ***** ujue tumekwisha!

na yy anachangia kuutangaza. ndio maana si vema kuweka mada kama hizo.
 
Huyu na yule mwenzake anayeigiza White Collar I always suspected them, hawana male aura.
 
Can it get any worse?
Kwani alivyokua hajajitangaza alikua hapumui vuzuri? Na sasa hii taarifa itamsaidia nini, more coverage??

If it is attention he is looking for the next step will probably be, walking in the studio naked!
 
Back
Top Bottom