Andengenye ni kuwadi. | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Andengenye ni kuwadi.

Discussion in 'Uchaguzi Tanzania' started by PakaJimmy, Dec 22, 2010.

 1. PakaJimmy

  PakaJimmy JF-Expert Member

  #1
  Dec 22, 2010
  Joined: Apr 29, 2009
  Messages: 16,236
  Likes Received: 309
  Trophy Points: 180
  Muda huu kupitia Redio Clouds Redio Clouds RPC wa Arusha Andengenye anatangaza kuwa Mkutano uliopangwa kufanywa na CDM Arusha si halali maana walitoa taarifa jana saa 4 asubuhi, na yanatakiwa yapite masaa 48 baada ya taarifa , ndipo mkutano ufanyike..
  pIA ANASEMA wamepata taarifa za kiintelijensia zinazoonyesha kuwa mkutano huo utasababisha uhalifu na uvunjifu wa amani...
  Jamani, ni intelijensia gani hii inayoifuatilia CDM?
  mBONA INTELIJENSIA ZA Ufisadi zina 'bounce lakini za wanaCDM zinafanikiwa?
  Andengenye amekuja kwa kazi maalum Ars, na wala si kuwa RPC wa kawaida..
   
 2. M

  Mbopo JF-Expert Member

  #2
  Dec 22, 2010
  Joined: Jan 29, 2008
  Messages: 2,532
  Likes Received: 8
  Trophy Points: 0
  Very unfair and it smacks of bad faith and lack of impartiality on the part of the law enforcement agencies that are funded by tax payers irrespective of their ideological differences. Police reforms are important now more than ever before.
   
 3. hashycool

  hashycool JF-Expert Member

  #3
  Dec 22, 2010
  Joined: Oct 2, 2010
  Messages: 5,899
  Likes Received: 442
  Trophy Points: 180
  inelijensia my ass.....huyo ande whatever hakuona intelijensia wakati lema anachezea kichapo?
   
 4. Mwita Maranya

  Mwita Maranya JF-Expert Member

  #4
  Dec 22, 2010
  Joined: Jul 1, 2008
  Messages: 10,569
  Likes Received: 104
  Trophy Points: 145
  Kwa kweli Andengenye amehamishiwa Arusha kwa kazi maalum. Hapa ndipo huwa naamini kwamba Tanzania hatuna jeshi la polisi, bali tuna wahalifu walio ndani ya mavazi ya polisi. Hawana tofauti na mgambo wa jiji la dar wanavyopambana na wamachinga! yani upuuzi mtupu.
   
 5. PakaJimmy

  PakaJimmy JF-Expert Member

  #5
  Dec 22, 2010
  Joined: Apr 29, 2009
  Messages: 16,236
  Likes Received: 309
  Trophy Points: 180
  Can you imagine wamekaa kimya wakati wa zile fujo zakupigwa Lema juzi leo ndo wanaibuka baada ya kuona maandalizi ya wanaArusha yangekuwa tishio...
  Muda utaongea.
   
 6. Mabel

  Mabel JF-Expert Member

  #6
  Dec 22, 2010
  Joined: Sep 1, 2010
  Messages: 1,018
  Likes Received: 24
  Trophy Points: 135
  Mimi naamini hata intelijensia ya Mengi Regnard kuliko ya Polisi
   
 7. Mwita Maranya

  Mwita Maranya JF-Expert Member

  #7
  Dec 22, 2010
  Joined: Jul 1, 2008
  Messages: 10,569
  Likes Received: 104
  Trophy Points: 145
  Huenda intelijensia yake ni pamoja na kumpiga Mh. Lema.

  Au kipigo cha Mh. Lema ndio dalili za hali tete ya usalama kwa intelijensia ya kamanda Ande.
   
 8. Mwita Maranya

  Mwita Maranya JF-Expert Member

  #8
  Dec 22, 2010
  Joined: Jul 1, 2008
  Messages: 10,569
  Likes Received: 104
  Trophy Points: 145
  Aisee, hili nalo neno!
   
 9. m

  maskin Member

  #9
  Dec 22, 2010
  Joined: Oct 27, 2010
  Messages: 76
  Likes Received: 11
  Trophy Points: 15
  Jamani mi nafikiri tanzania imefika mahali sasa tudai haki tukijua kuna polisi wenye virungu na bunduki wakisubiri wafanye vurugu, kwa hiyo ukienda kwenye maandamano jiandae kwa hayo yote kuna njia nyingi za kudai haki, sababu siku hizi tanzania maandamano sio njia ya amani ya kudai haki nafikiri kila mtu anajua hilo mpaka sasa,hakuna maandamano yafanyikayo kwa amani labda kama yamafadhiliwa na serikali iliyopoa madarakani angalia wanafunzi wa udom wamepigwa bila sababu,kwa hiyo nafikiri muda umefika wakutafuta njia mbadala
   
 10. m

  mageuzi1992 JF-Expert Member

  #10
  Dec 22, 2010
  Joined: Apr 9, 2010
  Messages: 2,512
  Likes Received: 6
  Trophy Points: 0
  Time will tell!
   
 11. PakaJimmy

  PakaJimmy JF-Expert Member

  #11
  Dec 22, 2010
  Joined: Apr 29, 2009
  Messages: 16,236
  Likes Received: 309
  Trophy Points: 180
  Intelijensia gani hii iliyoshindwa kuona risk iliyokuwepo wakati waking'ang'ania matokeo ya uchaguzi ili kuyapindua, na sasa inaona saaana risk ya fuJo ya mkutano simple tu!...
  Matukio ya ujambazi sasa hici Arusha ni mENGI mno, je hiyo intelijensia inashindwa nini kuya'intercept, lakini mambo ya siasa ndio yanaonekana hata gizani...
  wE ARE ROTTERN GUYS!...nI MASIKITIKO!
   
 12. L

  Lady JF-Expert Member

  #12
  Dec 22, 2010
  Joined: Apr 12, 2010
  Messages: 280
  Likes Received: 17
  Trophy Points: 35
  True!
   
 13. m

  mageuzi1992 JF-Expert Member

  #13
  Dec 22, 2010
  Joined: Apr 9, 2010
  Messages: 2,512
  Likes Received: 6
  Trophy Points: 0
  Time will tell
   
 14. Abdulhalim

  Abdulhalim JF-Expert Member

  #14
  Dec 22, 2010
  Joined: Jul 20, 2007
  Messages: 16,472
  Likes Received: 126
  Trophy Points: 160
  Kama sheria ya masaa 48 haijatimia na ni sheria halali mlitakaje? Pia kama kuna potential conditions za uvunjifu wa amani au any sort of interruptions, hiyo nayo ni sababu genuine. At some point whether we like or not lazima tuilinde amani kwanza ikiwa kuna uwezekano huo.
   
 15. Elli

  Elli JF-Expert Member

  #15
  Dec 22, 2010
  Joined: Mar 17, 2008
  Messages: 26,828
  Likes Received: 10,140
  Trophy Points: 280
  Hilo neno ulilotumia bado halimtoshi, hebu jamani mwenye neno lenye hadhi ya huyu kiumbe atupatie tulitumie hilo....huyu sio RPC bali ni matapiiishiii
   
 16. MESTOD

  MESTOD JF-Expert Member

  #16
  Dec 22, 2010
  Joined: Nov 12, 2010
  Messages: 4,641
  Likes Received: 142
  Trophy Points: 160
  Ndo maana wananchi wanachukua hatua za kuchoma vituo vya polisi, maana hawa jamaa kazi yao ni kulinda wahalifu. CDM kupigwa siyo uvunjifu wa amani na persoanl destuction. Ila ccm kuumbuliwa kwa maovu yake ni uvunjifu wa amani. kwa andengenye time will tell, kama siyo sasa, some time you will tell, na hautaenda the hegue kwa ocampo, utakuwa keko kula maharage kama liyumba kwa kutumiwa na kugeuzwa kuwa robort. jamani nchi inakera hii.
   
 17. MESTOD

  MESTOD JF-Expert Member

  #17
  Dec 22, 2010
  Joined: Nov 12, 2010
  Messages: 4,641
  Likes Received: 142
  Trophy Points: 160
   
 18. PakaJimmy

  PakaJimmy JF-Expert Member

  #18
  Dec 22, 2010
  Joined: Apr 29, 2009
  Messages: 16,236
  Likes Received: 309
  Trophy Points: 180
  Werevu mwingi ulimshinda Fisi...Hizi kazi zipo na tutaziacha, na wengine watakuja wazifanye!...namsikitikia!
   
 19. O

  Ogah JF-Expert Member

  #19
  Dec 22, 2010
  Joined: Mar 10, 2006
  Messages: 6,229
  Likes Received: 71
  Trophy Points: 145
  Nakubaliana na wewe Mkuu, sheria tumeziweka wenyewe ili zitulinde/zitusaidie..................huko nyuma niliuliza hivi Meya akishachaguliwa hawezi kupingwa mahakamani kuwa alichaguliwa visivyo?
  Nimbaya sana unapopambana na mtu ambaye amefuata sheria..............ni lazima tuwe waangalifu na move yeyote ya kisiasa isije ikatuaminisha yasiyo...............The whole and true story is yet to be revealed.............kuna version tofauti ya stories kwa yaliyotokea huko Arusha..............

  Kama Mh Mbunge alifuata sheria...........Andengenye hayuko juu ya sheria.........sheria itamfuata.

  NB: katika hali yeyote ya vurugu lolote laweza kutokea hata Mh Mbunge kupigwa..............na sheria ikasema vijana walikuwa kazini.....sijui hapo tumlaumu nani............

  ........Viongozi tuna wajibu wa kuyaona haya na kuwatuliza na kuwaelekeza tunaowaongoza................Nilitegemea Mh Lema anajua kuwa hata kama CCM wamechakachua uchaguzi na kwamba ni uchaguzi batili.......kuna njia sahihi za kulishughulikia hilo i.e. kwenda mahakamani.............na huko ndiko tutawaibisha Majambazi CCM na mbinu zao chafu............lakini hizi vurugu ni kama tunawapa CCM upper hand...........na polisi hawana jinsi bali ni kuwajibika kwa mujibu wa sheria...............

  Lets fight a good fight guys!
   
 20. Monsignor

  Monsignor JF-Expert Member

  #20
  Dec 23, 2010
  Joined: Jan 29, 2009
  Messages: 523
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 0
  Bita ni bita mura. There is no such thing as a good fight, otherwise that will be a sport like boxing where u can't hit below the belt
   
Loading...