Elections 2010 Andengenye ni kuwadi.

Ninyi hamumfahamu Andengenye. He is clean. Siyo mla rushwa. Siyo fisadi. Hana maringo. Ni mtu wa watu. He is professional. I know him well. In my opinion he is our future IGP.
 
Ninyi hamumfahamu Andengenye. He is clean. Siyo mla rushwa. Siyo fisadi. Hana maringo. Ni mtu wa watu. He is professional. I know him well. In my opinion he is our future IGP.
Under my dead body, ni mjomba wako? uliza watu wa Moro? kuchukua bahasha kila mwisho wa mwezi toka kwa wafanyabiashara? majambazi .unajua amevunja ndoa ngapi za askari Na za wanamorogoro? unamjua Marehemu Jambazi Uswaa .aliyemteka Mama Kilango malesera?
 
uwezo mdogo wa polisi kujieleza ndio unawasumbua, andengenye anasema madhara makubwa yangetokea watu walio umia wamepigwa na polisi kwa risasi sasa walio piga wenzao nani au ndio anaona watanzania wajinga nini?? akali kufanya siasa ataona siku haki itakapo chukua hatamu ndio atajua anachofanya
 
Sababu kubwa ya kutolewa basilo matei ni kwamba alikuwa kamanda muelewa sana.. Na pia alikuwa hatoi amri za kutishia wala kuonea... Wakati wa uchaguzi aliambiwa awatawanye watu pale manispaa yeye akasema kuwa walioko pale ni wanachama wa chadema na siyo ccm hivyo wapewe matokeo yao ili watawanyike.. Na walipofanya hivyo tu.. Wanachadema walitawanyika kwa amani sana.

Sasa basilo akaonekana kuwa ni kibaraka ya chadema wamamhamisha bila sababu ya msingi na kumleta huyu andengenya.. Sasa jamaa amekuja kuungana na zuberi basi ni balaa tu.. Asubuhi walileta magari kama kumi ya polisi kutoka moshi hayakutosha wakaleta mengine mchana kuongeza nguvu.

Wametumia mabomu kupiga hata sehemu zisizofaa mfano pale mnara wa mwenge karibu na hospitali ya kaloleni, pale kwenye jengo la salimu ally karibu na hospotali ya st. Thomas. Haya mabomu yalileta shida sana kwenye hizi hospitali kwa wagonjwa ambao wengine walipata mishtuko hata kuzimia.

Walikuwa wanapiga watu na mipini ya majembe, mateke na risasi za moto.. Kwa nini yote hii?? Ccm hawawezi kufanya mikutano tena arusha kwani umeona watu walichofanya walienda kuvunja vioo vya jengo la ccm mkoa.. Hii yote inaongeza chuki kwenye jamii.

Sasa hii inamaanisha nini? Andengenye lazima ashtakiwe na igp.. Waziri nahodha awajibishwe.
 
Laiti huyu TA asingeendelea kuwa RPC wa Arusha.
_________________________________________________________________________

Wars are caused by undefended wealth - Ernest Hemingway, Writer
 
Back
Top Bottom