Hii nayo kali....anyways, kuna demu alikuwa na hii hali...akikaribia kumaliza lazima akate moto. akirudi hewani anabisha kuwa hakuzima.
Aiseee n balaa yan n kamaDah,kesi inayotaka kufanana na hii ilishanikuta nikahisi jela inaniita.Nilikua nanyoosha kiuno na mama watoto,kupiga mizunguko kadhaa Mara gafla MTU kakata moto haemi wala atikisiki,tikisa tikisa weee wap.Mawazo yakaanza kunikamata.Ikabidi nimnyunyizie maji kidogo kidogo ile kuweka sikio kifuani nikaskia mapigo kwa mbali.Aisee nilisali kila aina ya sala make nilipoteana maana nimekaa nae kwa miaka sijawahi kuona tukio kama ilo kwake.Sa sikujua tatizo lilikua nini siku hiyo kama nilizidisha moto au la.
Ungekua ww ungefanyajePole Sana Una moyo Wa kishujaa Sana mdada![]()
Duuu ata Punyeto azimie hii kaliNa kwa nini uolewe na mvulana, kwani wanaume hawapo?
Kitoto cha watu hata hakijamaliza balehe sawa sawa unakipa full dozi kina chote mali yake, kasizimie kweli?
Pole sana mkuu,ilo tukio omba lisikupate mtu ambae bado lijakukuta.Dah mtoto alikata kama dakika 30-40 ila nilipoteana ile mbaya,MTU kakata moto gafla wakati kazi inaendelea aoengei wala atikisiki.Baada yakuzinduka ikabidi nimjenge vyema kisaikolojia kwanza nikamtania nakumchekesha wee kisha nikamuliz vipi kulikoni unakumbuka nini chochote Leo!?nan kakuvalisha hajui anasema yeye alilala baada yashughuli,kiujumla hakujua kilichomkuta kabisa mpaka nilipomueleza mkanda mzima.Aiseee Pole sana kwake
Mm hii nlikutana nayo Kwa
X wang juz tu January
Tumepga game masaa wawili
Ile natafta la 3 kasheshe
Ikaanzia hapo mtu haongei
Wala nn nlishuka fasta
Naanza kubembeleza
Yan alikuja kuznduka after 20 minutes
Na tang hyo cku ilikua ndyo mwisho
Wa mm na yy
jini, duhhhhunakazwa na jini wewe.......
uzinzi Raha hadi akili zinarukakwa nini hataki kwenda hospitalini?Usijitoe fahamu kutembea na mtu asiyejitambua kiwango hicho,pili hamjafunga ndoa na hajalipa mahari huyo mtu si mumeo,kwa hiyo mnafanya UASHERATI na mbele ya MWENYEZI MUNGU hampo vizuri.Usipochukua hatua atakuja kukufia kwa low blood pressure hapo ndipo utajuta kuwa naye.
Asije siku akafia kifuani kwako kwa maraha unayompa Nina mvulana ambaye natarajia awe mume wangu. Uhusiano wetu una miezi nane sasa na tunaweka mambo sawa ili tuishi pamoja.
Miezi hii miwili amekuwa Na tatizo, akikaribia climax anapoteza fahamu na mapigo ya moyo yanakuwa chini sana kwa kipindi cha kama dakika 18-22.
Kuanzia mwezi huu umeanza nilimwambia simpi TAMU hadi twende hospital, tujue tatizo ni nini na tunalitatuaje.
Amekuwa mbishi sana kwenda hospital Na Kila siku anaibua kusingizia kipya.
Leo asubuhi nilitoka kwenda sokoni kununua mahitaji, safari yangu ilikuchukua kama dakika 50 ndio nikarudi nyumbani.
Nilipo fika nyumbani milango ilikuwa wazi, nikaenda jikoni na kubwaga mazagazaga yangu kisha nikaingia chumbani. Nilichokikuta kiliniacha mdomo wazi. Nikamkuta Mr suruali iko magotini, pembeni kuna Vaseline, dudu imejaa mafuta, Na amezimia. (Nadhani baada ya mimi kumnyima mwezi wote huu wa tatu akaamua kufanya punyeto)
Jamani naombeni msaada je hiki kinachomsumbua Mr ni ugonjwa wa kawaida, majini au amerogwa?
Nimeshindwa hii post yangu niweke jukwaa gani sahihi JF Dr. Au Jukwaa la mapenzi.
Moderator utanisaidia kwa namna itakavyofaa
chekechea dei keaHUYO MVULANA BADO NI MGENI WA MAPENZI
UNASOMA SHULE GANI?
chekechea dei keaHUYO MVULANA BADO NI MGENI WA MAPENZI
UNASOMA SHULE GANI?