Anazimia akitaka kupitia, hili ni tatizo gani?

Anazimia akitaka kupitia, hili ni tatizo gani?

hahaaa chukua ndugu yako huko ...asije kufia juu ya kifua
huyo ndugu zake na kabwana ka biharusi Demiss !.. ila haya mogonjwa megine nayo etii starehe ikizidi unazimia hata kwenye chaputa
 
huyo ndugu zake na kabwana ka biharusi Demiss !.. ila haya mogonjwa megine nayo etii starehe ikizidi unazimia hata kwenye chaputa
hahaaa ipo siku atakuja kuzimia akiwa washing room anapata long call
 
Nina mvulana ambaye natarajia awe mume wangu. Uhusiano wetu una miezi nane sasa na tunaweka mambo sawa ili tuishi pamoja.
Miezi hii miwili amekuwa Na tatizo, akikaribia climax anapoteza fahamu na mapigo ya moyo yanakuwa chini sana kwa kipindi cha kama dakika 18-22.
Kuanzia mwezi huu umeanza nilimwambia simpi TAMU hadi twende hospital, tujue tatizo ni nini na tunalitatuaje.
Amekuwa mbishi sana kwenda hospital Na Kila siku anaibua kusingizia kipya.
Leo asubuhi nilitoka kwenda sokoni kununua mahitaji, safari yangu ilikuchukua kama dakika 50 ndio nikarudi nyumbani.
Nilipo fika nyumbani milango ilikuwa wazi, nikaenda jikoni na kubwaga mazagazaga yangu kisha nikaingia chumbani. Nilichokikuta kiliniacha mdomo wazi. Nikamkuta Mr suruali iko magotini, pembeni kuna Vaseline, dudu imejaa mafuta, Na amezimia. (Nadhani baada ya mimi kumnyima mwezi wote huu wa tatu akaamua kufanya punyeto)
Jamani naombeni msaada je hiki kinachomsumbua Mr ni ugonjwa wa kawaida, majini au amerogwa?
Nimeshindwa hii post yangu niweke jukwaa gani sahihi JF Dr. Au Jukwaa la mapenzi.
Moderator utanisaidia kwa namna itakavyofaa
Hajalogwa majukumu ya memzidii.
Halafuu pia mnapeana tamu kila saa nawewe ndio umemzidi nguvu sio mpaka pale pale aonyeshe inachukua kamuda.
Kuonyesha.
So fanyeni mapenzi kwa kiwango sio kila siku na kila saa halafu hali ni hicho tu ndio mnachofanya sana.
Kulenii.
Sanasana yeye anayezimia.
 
Wewe utakua ni mtamu mno ndo mana anazimia,,,na hata hyo punyeto labda alipigia pichu yako utamu ukazidi
 
Hako Kavulana kako siku kakiwa Kanaume katakubali kwenda hosii
 
Hahahaha nimecheka kama mazuri

My dia mpeleke huyo mvulana hospitali alafu umuache atafute kasichana
 
sasa anafanya ngono ili iweje siatulie tu """ hahaaaa atakuja kujifia huyo Dogo aiseeee """ unafnya kitendo kinachokusakam kiasi hcho cha kazi gani sasa .....""""??? halafu eti hataki kwenda kwa doctor aiseee

Kila mara nasema...

Tatizo binadamu ni wabishi sana...

Cc: mahondaw
 
Huku hutapata msaada wowote shemela wangu kipenzi. Njoo huku JF Doctor, ndio unaweza ukasaidiwa. Ila hapo na maombi pia yanaitajika... Maana iposiku atazima na asiamke tena. ASTAKAFIRUKAA. WAATUBULAIKAA!!!
 
sasa anafanya ngono ili iweje siatulie tu """ hahaaaa atakuja kujifia huyo Dogo aiseeee """ unafnya kitendo kinachokusakam kiasi hcho cha kazi gani sasa .....""""??? halafu eti hataki kwenda kwa doctor aiseee
Atakuwa anajua tatizo lake huyo mvulana.. teh
 
Back
Top Bottom