Waohhh.. That's my doktareeeePole yake sana...
Anamatatizo huyo kwenye mishipa yake ya ufahamu...
Inaonekana anapofikia mshindo, level ya oxygen hushuka haraka kupelekea pumzi kukata na kusikia kizunguzungu na mapigo ya moyo kushuka kwa sababu misuli yake badala ya kujiachia inajikaza kwa namna ambayo siyo sawa kwa mwili...
Mpeleke hospitali...
Cc: mahondaw


Kabla ya week ya furaha alikuwa na majanga yake naye!!...😀Demiss huyu huyu anayeolewa leo na mshana jr.?
Mshawishi kwa maneno mazuri mwende hospital pia msisahau kufanya maombi.
Uenda kuna kitu katupiwa ili kuwavuruga kwakuwa mmeonekana mkiungana mnabaraka nyingi.
Sent from my KIW-L24 using JamiiForums mobile app
DefinitelyKama mwanza hakuwa hivo na imedevelipe hivi sasa
Muulize kawaida mwanmme akikaribia au kufikia mshindo pressure yake inakuwa juu sana na mapogo ya moyo yanakuwa juu
Kama mapogo yamoyo yanashuka kuna uwezekano anatumia dawa za kuongeza hamu
Dawa hizi huwa zinashusha pressure kwa kufanya peripheral dilation ili mbo...lo ipate damu na iendelee kudinda kadiri anavyooendelea ndo inashuka na kitu kinachotokea ni kuwa damu haiendi ya kutosha kwenye ubongo
Hivo mwambie aache ajiMini na atumie chakula cha kubust
HoN
hahahahahhaKudadeki nimecheka mpaka namimi nimezimia
sasa anafanya ngono ili iweje siatulie tu """ hahaaaa atakuja kujifia huyo Dogo aiseeee """ unafnya kitendo kinachokusakam kiasi hcho cha kazi gani sasa .....""""??? halafu eti hataki kwenda kwa doctor aiseeePole yake sana...
Anamatatizo huyo kwenye mishipa yake ya ufahamu...
Inaonekana anapofikia mshindo, level ya oxygen hushuka haraka kupelekea pumzi kukata na kusikia kizunguzungu na mapigo ya moyo kushuka kwa sababu misuli yake badala ya kujiachia inajikaza kwa namna ambayo siyo sawa kwa mwili...
Mpeleke hospitali...
Cc: mahondaw
hahaaa chukua ndugu yako huko ...asije kufia juu ya kifuaKabla ya week ya furaha alikuwa na majanga yake naye!!...😀