sosoliso
Platinum Member
- May 6, 2009
- 8,543
- 9,480
Dar hata tusipokuwa na MEYA sawa tu, Magufuli atutosha.
Daah.. Kweli akili ni nywele kila mtu ana zake..! 😡😡
Dar hata tusipokuwa na MEYA sawa tu, Magufuli atutosha.
watu tuko busy na kumsadia JPM kuijenga Tanzania mpya, Uchaguzi wa Meya kawaulize wapenda madaraka watakwambia lini
Sema umelishwa ujinga na chadema, hivi hujiulizi leo chadema kama wangechukua nchi wangekuwa wanafanya nn? Maana yote anayofanya magufuli wao ni kupinga tu. Pamoja na magufuli kuungwa. Mkono na wanachi pamoja na mataifa mbalimbali
Na kwa akili zake za kilofa na kipumbavu anafikri anaweza iua chadema, aje yeye na mwenyekiti wao wa malofa wwachukue salamu wampelekee wasira.Mkuu huyu ndo anayemtunza yule fisi pale lumumba, akili yake haiko sawa, fisi kishamfanya vibaya
Kweli Mkuu, kinachoshangaza tangu tumbua majipu imeanza wanaotumbuliwa wana mahusiano na walioko madarakani, sijasikia mtu kutoka upande wa pili akihusishwa najiuliza hivi huu ufisadi wa Edo umepotelea wapi? Nasubiri siku Edo atakapotumbuliwaTuache kulipotosha taifa kila kukicha kutaka kuficha ufisadi wa ccm kwa kuulazimisha umma uamini kwamba mwizi(fisadi) alikuwa Lowassa. Hapa nasema hapana, inatosha sana kuamini Lowassa ni mtu msafi tu maana mpaka hivi sasa Lowassa hayuko ccm na ufisadi unaendelea ikiwa ni pamoja na kuzuia uchaguzi wa meya wa jiji la Dar.kwa sababu mnajua mtatumbuliwa majipu. Acheni kumtumia Lowassa kama daraja lenu la kulitafuna taifa mkiwa mmejificha kwenye kivuli cha Dr Magufuli kwa uzalendo wake mzuri anaolifanyia taifa letu.
Naendelea kulaani wale wote wanaopenda kumtumia Lowassa Kama Fisadi wakati wezi wamejaa huko huko mnakotumbuana majipu. Tanzania inataka mabadiliko ya fikra na uelewa wa mambo kwa watu wake ili wachambue pumba na mchele ni zipi. Hatuwezi kuendelea kuaminishana kwamba ccm iliyobaki ni ya watu wasafi wakati umeya wa jiji la Dar .mnashindwa kukubaliana na namba 11 kwa 0. Tuache siasa nyepesi tuwatendee haki wanyonge over.
WE MWANAUME GANI MMBEA..Ni watu wawili tu ndiyo wanaowatesa CHADEMA, ni NGEDERE na rais Dr. Magufuli.
NGEDERE alichokuwa anataka ni kusafishwa na aliyemmwagia matope, amefaulu lakini CHADEMA hawatakaa wawe wasafi tena.
Rais Dr. John Pombe Magufuli amekonga nyoyo za Watanzania. hakuna anayehangaika na kusikia CHADEMA wanafanya nini kwa sababu wanafuga NGEDERE aliyekula mahindi yao kwa kipindi chake chote alipokuwa mashambani mwao.
Vipi sasa Chadema wanavyotapatapa kujinasua kutoka kule walikotumbukia?
Ni kwa kuwaaminisha Watanzania mambo mawili:
Kazi hii vimekabidhiwa vyomba vya habari hususan Magazeti yanayomilikiwa na viongozi wa CHADEMA na mengineyo. Tanzania Daima, Mwananchi na Nipashe ni moja ya magazeti hayo. Tena yasivyo kuwa yamejipanga, utakuta yamepewa taarifa moja lakini ama kwa sababu tu ya makusudi au uwelewa mdogo wa wahariri wake , kila moja linakuja na taarifa tofautitofauti katika kurasa zake za mbele.
- Kwamba NGEDERE hakulihujuhumu taifa hili(siyo fisadi). Hilo wamelitekeleza kuanzia wakati wa Uchaguzi Mkuu mwaka jana pale walipomtuma mtu aliyemwandika NGEDERE zaidi ya mara 70 kwenye gazeti lake kuwa "HUYU NGEDERE NI HATARI" kwenda Kyela kumwangusha Mwakyembe kwenye Uchaguzi wa Ubunge katika jimbo hilo. Ikumbukwe kwamba Mwakyembe ndiye aliyekuwa Mwenyekiti wa Kamati iliyomng'oa NGEDERE. Namna nyingine ya kumsafisha Ngedere ni kukosoa Operesheni tumbua majipu, eti utumbuaji unawaonea wanaotumbuliwa. Hii yote ni kutaka kutuaminisha kwamba inawezekana na NGEDERE alionewa. wao walikurupuka kumvua nguo bila kujiridhsha? NI VIGUMU SANA MTU YEYOTE ANAYEKULA SAHANI MOJA NA NGEDERE KUPONGEZA UTUMBUAJI MAJIPU, LABDA ARUDI YESU LEO. Hili la kumsafisha NGEDERE linafanyika katika nyumba za ibada, kwenye Majukwaa ya kisiasa n.k. ni hatari sana.
- Kwmaba serikali ya Magufuli nayo siyo safi
Kila kukicha utasikia mara "mawaziri wa Magufuli Majipu", mara "MAWAZIRI WA MAGUFULI WANAOSUBIRI KUTUMBULIWA" Ukiangalia kwa undani utagundua mawaziri wanaotajwa ni wale waliosimama kidete kuhakikisha NGEDERE anaondoka Shambani, waliosimma kidete kuhakikisha watu hawawi madalali wa vitalu vya gesi, waliopigania chama kuhakikisha kinapata mgombea safi na kuhakikisha CCM inashinga katika uchaguzi mkuu uliomalizika mwaka jana n.k.
Chadema kama Chama kinatakiwa kifanye kazi zake kama taasisi na siyo kuongozwa na NGEDERE kupambana na mtu mmoja mmoja ambao kwa namna moja au nyingine anaonekana kuwa na uhasama naye NGEDERE au mtu yeyote atakayewapa pesa.