Anayewatesa CHADEMA na Wanavyotapatapa Kujinasua

Anayewatesa CHADEMA na Wanavyotapatapa Kujinasua

Ficha upuuzi wewe, wapenda madaraka? huna hata haya? wapenda madaraka ni hao wanao kazania ujinga kama wewe nafasi halali katika katiba lazima apatikane mtu wa kufanya hiyo kazi. Mahaba yasikupofushe macho ukaikana ukweli ili uwe kibaraka.
mujibu mwenzako kwa hoja, matusi ni dalili za kuishiwa hoja.
 
hakuna hakuna mzalendo anayependezwa na ufisadi wa Lowassa , anapoendeleza chuki zake kwenye siasa za sasa ndiyo sababu ya watu kujikuta wakimtaja tena ili aone haya mwenyewe. uamuzi wa kwenda kuchunga ng'ombe ndiyo ulikuwa sahihi kabisa ili awaache watanzania wazalendo wajenge nchi yao
Wanafiki wakubwa ninyi, eti wazalendo? Chama chenu kimejaaa wahujumu uchumi mnachekeana tu hata nyoka wa makengeza anakalia kiti cha enzi, mnawivu Na chuki binafsi zimewajaaa, safisheni kwanza humo ndani mwenu ndo mtoke nje
 
mujibu mwenzako kwa hoja, matusi ni dalili za kuishiwa hoja.
Ujinga ni ujinga tu, upumbavu ni upumbavu tu hauna jina mbadala. Huwezi kuvunja vifungu vya katiba kwa kuwa una uhakika wa kupoteza utakacho na bado mazuzu yaje yashangilie uvunjifu wa amani unaotokea kwa kuwa tu ana uhakika wa kupoteza. Yule aliesema wapumbavu na malofa nae alijua wameishiwa hoja kumbe ee!
 
Siona magazeti tu na mitandao ya kijamii, nasikia Ngedere na wapambe wake wamejaribu kumutumia Bange Kimange imebuma!!
Hahaaa, Manyumbu hawatamsahau Januari Makamba alivyowachachafywa kwenye uchaguzi mkuu, sasa wanamtafutia visa tu ili JPM amtumbue, bahati nzuri , rais wetu siyo mtu kuondoka mambo ya vijiweni.
 
Ujinga ni ujinga tu, upumbavu ni upumbavu tu hauna jina mbadala. Huwezi kuvunja vifungu vya katiba kwa kuwa una uhakika wa kupoteza utakacho na bado mazuzu yaje yashangilie uvunjifu wa amani unaotokea kwa kuwa tu ana uhakika wa kupoteza. Yule aliesema wapumbavu na malofa nae alijua wameishiwa hoja kumbe ee!
kwa hiyo wewe unajibu kama LOFA na PUMBAVU siyo.
 
Ni punguani pekee ndiye anayeamini kuwa kuwa Lowassa anafaa kuwa kiongozi, ni mpumbavu pekee anayeamini chadema lakn wenye akili timamu wote walishaona chadema ujinga flani hivi.
 
kwa hiyo wewe unajibu kama LOFA na PUMBAVU siyo.
Nakujibu wewe LOFA na MPUMBAVU kuwa UPUMBAVU wenu usiharibu amani ya nchi na ULOFA wenu msiulete kweny uchaguzi wa umeya wa jiji la Dar. UPUMBAVU wenu ni pale mnapo amini mtapata nafasi za kazi kwa kutukana watu mitandaoni#46.
 
nimempiga kuliko kwenyewe, acha msumari umuingie taratatibu, hii mijitu inavyotaka kumhujumu rais wetu sasa lazima tule nayo sahani moja.
Endeleeeni kulishana ujinga, kwa mawazo yenu ya kipuuzi ndo maana Dodoma wamedumaa akili
 
Endeleeeni kulishana ujinga, kwa mawazo yenu ya kipuuzi ndo maana Dodoma wamedumaa akili
dodoma imeingiaje hapo, umevurugwa ndugu? kizazi na kizazi kitakachozaliwa lazima kijifnze alikuwepo NGEDERE kutoka MONDULI na aalitaka kulipelekea taifa kusiko.
 
Nakujibu wewe LOFA na MPUMBAVU kuwa UPUMBAVU wenu usiharibu amani ya nchi na ULOFA wenu msiulete kweny uchaguzi wa umeya wa jiji la Dar. UPUMBAVU wenu ni pale mnapo amini mtapata nafasi za kazi kwa kutukana watu mitandaoni#46.
Mkuu huyu ndo anayemtunza yule fisi pale lumumba, akili yake haiko sawa, fisi kishamfanya vibaya
 
umemsahau na Dr. Slaa kivuli chake kinawatesa hadi leo kumweka kando kugombea urais walimwengua mara moja ila kuziba nafasi yake ya ukatibu mkuu mpaka sasa wameshindwa
 
dodoma imeingiaje hapo, umevurugwa ndugu? kizazi na kizazi kitakachozaliwa lazima kijifnze alikuwepo NGEDERE kutoka MONDULI na aalitaka kulipelekea taifa kusiko.
CCM ni chama kibaya sana, kimesababisha hata weye umeshindwa kupata malezi mazuri, umekua Na sasa wajiita msomi CCM wameshindwa kukufundisha adabu,
 
Back
Top Bottom