Anayewania kumrithi Fatma Karume TLS aikosoa Katiba

Anayewania kumrithi Fatma Karume TLS aikosoa Katiba

Kumbe TLS ni ya wanachama wa TLS wenyewe.

Je uyo aliyejinadi kuhusu katiba ya Tanzania,kwanini asijinadi kuelezea katiba ya TLS kama kama inahitaji amendment?


Sent using Jamii Forums mobile app
kazi ipo kweli,kazi zao za kila siku za uwakili msingi wake unategea uwepo wa katiba bora iso na mapungufu au inayokinzana.katiba ndie mama wa sheria zote .
 
Kaamua kuvaa ngozi ya kondoo akidhani hatutamtambua? Tunaangalia kwato, we Ni mla Nyama, majani huyawezi.
 
Wengine tulikuwa tunajuwa TLS ni chama cha wanasheria kisichojali candidate ana mwongozo gani wa chama wala itikadi ya vyama vya siasa?!
Kumbe kigezo muhimu na kwanza ni lazima uwe shabiki wa CDM?!
Mbona haiweleki...
Usilazimishe ulivyoelewa iwe ndivyo ilivyo. TLS kinasimama na yeyote asiependa uminywaji wa haki! Ukiwa CCM au ACT, Kama unaunga mkono utungwaji wa sheria kandamizi, Kama una URAFIKI na wasiojali haki za Binadamu, nk, TUNAKUFYEKELEA MBALI. Fatma Karume Ni CCM Kindakindaki, mbona tulimchagua? Ni kwa sababu alisimama na kueleza muelekeo wake Ni kusimama na Wanyonge!

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Hiyo nafasi nadhani haina umuhimu kwa hicho chama, kwa nini mnabadirisha viongozi ndani ya muda mfupi nanmna hii?
Unadhani! Wewe Ni Wakili? Mawakili wanajua sababu ya uchaguzi wa kila mwaka. Uwakili (Leseni za Uwakili) hutolewa kila mwaka. Mwaka huu unaweza kuwa Wakili, mwaka ujao usiwe (endapo hutahuisha Leseni yako). Je, unataka tuwe na Rais asie Wakili?

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kwani TLS ni chama cha kupambana na serikali au?. Maana naona kutoelewa wanachokisema na wanachokitenda😀😀
 
Anamtumia Lissu kujipigia pande huyu ... Twaweza wanawajua vzr ccm wengi ni majinga
 
Unadhani! Wewe Ni Wakili? Mawakili wanajua sababu ya uchaguzi wa kila mwaka. Uwakili (Leseni za Uwakili) hutolewa kila mwaka. Mwaka huu unaweza kuwa Wakili, mwaka ujao usiwe (endapo hutahuisha Leseni yako). Je, unataka tuwe na Rais asie Wakili?

Sent using Jamii Forums mobile app
Basi tatizo liko kwenye profession yenu, kwa nini mmefanya kuwa ni rahisi sana kumfanya mtu kutokuwa wakili?

Wakati watu wenye kariba kama yenu (majaji) wakifikia hadhi hiyo wanakuwa nayo maisha yao yote?
 
Back
Top Bottom