Anayeuza vinu vya kukoboa mpunga

Mizega

Senior Member
Feb 10, 2021
143
303
Kama inavyosomeka hapo juu,

Naomba yeyote anayeuza vinu vidogo vya kukoboa mpunga aje inbox, pia yeyote mwenye Mota 3 phase hp 20-Used tuwasiliane. Nataka kuanzisha biashara ya kukoboa mpunga vijijini.

Ahsante
 
Nipo interested na hiyo biashara tunaweza kushare idea nina kaela kangu sehemu naweza kuifanya na mimi.
 
Kama inavyosomeka hapo juu,

Naomba yeyote anayeuza vinu vidogo vya kukoboa mpunga aje inbox, pia yeyote mwenye Mota 3 phase hp 20-Used tuwasiliane. Nataka kuanzisha biashara ya kukoboa mpunga vijijini.

Ahsante
Vijiji gani
 
Jamaa wanatengeza vinu kwa bei mzuri sana walitengezea kinu mwaka wa tatu kinapiga kazi vizuri wanapatika damp Tabata kuna vinu viko tayari pale ila ukitaka wakutengeze kwamaelekezo yako ni suku mbili tu
 
Back
Top Bottom