Anayeuza,radio,tv tafadhali

Anayeuza,radio,tv tafadhali

Raelish

JF-Expert Member
Joined
Jul 17, 2013
Posts
489
Reaction score
162
habarin wanafamilia hapa, jaman ndo naanza maisha, pesa ya kuingia dukan sina kwa sasa, mweny tv,radio alaf akaamua kuuza aniuzie wapendwa. saiz yoyt ile ila isiwe mbovu. 0782168784
 
Me nakuuzia samsung inch 23 flat yenye kingamuz na dvd player yake 420,000 then kama unatka kitanda ful mninga cha 4.5x6 nakupa kwa 150,000 ukitaka na godoro yake nakupa nipe 230,000 Ni pm kama uko njema
 
Duuh, mkuu unahama nchi kabisa au ni nini?
 
Njoo uchukue singsung TV. Flat screen nchi 22 bado mpya kabsa bei lak 3 tu. Pia upo music subwoofer kwa 180000 tu. Spika 5
 
habarin wanafamilia hapa, jaman ndo naanza maisha, pesa ya kuingia dukan sina kwa sasa, mweny tv,radio alaf akaamua kuuza aniuzie wapendwa. saiz yoyt ile ila isiwe mbovu. 0782168784

Ninayo panasonic viera inch 32 used ndio kwanza nimeletewa toka uk nipigie 0719-808849 tuonges biashara....
 
Back
Top Bottom