Anayeufahamu Naomba Anisaidie.

Anayeufahamu Naomba Anisaidie.

Sumu

JF-Expert Member
Joined
Nov 5, 2010
Posts
7,030
Reaction score
6,277
Kuna wimbo mmoja wa Twanga Pepeta una rap inayosema "bora niwe bachela", unaitwaje? Na upo kwenye album gani? Anayefahamu naomba anisaidie.
 
mkuu ungesearch zako tu na uhakika ungeupata..
kwani vipi cha mbavu nini mkuu..
 
mkuu ungesearch zako tu na uhakika ungeupata..
kwani vipi cha mbavu nini mkuu..

Kama ulijua vile mkuu, nimepigwa cha mbavu. Nimejaribu kuu"google" kwa kutumia hiyo rap sijaupata.
 
Yan naukumbuka kwa mbali sana ila we NUNUA album zote za twanga utaukuta umo ndani
 
Back
Top Bottom