Anayetaka mke mwalimu

Anayetaka mke mwalimu

............................................................................/\.......................
 
Mungu hakunyimi vyote mshara wetu wa kawaida ila ndoa zinatumiminikia chezea eduche wewe.
 
you missed a point, hata siku moja ubora ama uzuri wa mwanamke si kazi yake, uzuri wa mke ama mume ni yeye mwenyewe, kila mahali wapo wazuri na wabaya
 
you dont deserve, nilikuheshimu sana kabla kumbe uwezo wako pia ni tatizo, wala haustahili kuwa miongoni mwa wanawake waliostaarabika.

hahaha who are you boy?,hasira zote hizi ni kwakuwa tulikufurumusha jukwaa la elimu na mada zako nyiiingi!! Zisizo na utafiti ! Mmmh ulijua MMU kule? uwege unajipanga !!
 
huo utafiti umeufanya wapi mkuu? uhuru na pesa ndio vitu pekee vya kupimia tabia ya mtu
 
hahaha who are you boy?,hasira zote hizi ni kwakuwa tulikufurumusha jukwaa la elimu na mada zako nyiiingi!! Zisizo na utafiti ! Mmmh ulijua MMU kule? uwege unajipanga !!
hakuna aliyenifurumusha, zaidi naona ni sawa na kwamba ulinitukana na kueleza mambo yasiyo na ukweli kuhusu mimi, ndio mana hukunijibu nilipojibu, na wala hukuchangia content ya mada iwe kwa kukosoa ama kuipinga kwa hoja zaidi ya kunishambulia mpaka nikashangaa as sikuwahi kukukejeri ama kukukwaza huku
 
Hahahaaaa kwa maana hyo ambao sio walimu ni majanga? mmmh idont thnk so
Ni kweli kabisa

tabia za wanawake wanasheria unazijua?

tabia za wanawake wa accounts, banking unazijua?

HOWEVER sio wote
 
Ni kweli kk waalimu ni wake bora coz wana saikolojia ya malezi waliosomea kwa hiyo wana uvumilivu sana mfano tosha first lady mama salma na mifano mingi sana ndo za wake waalimu zinatudumu na hawana makuu kama course zingine wanakuwa na kiburi sana hima tusiooa tuchukue hatua
 
Ubaya wenu mnawatumia tu nkiwapa mimbanawaacha na wenywe walivyo hawajielewi wanagawa balaa
 
sio kweli, kutokana na kipato duni wengi ni loose, wafaji wengi wa mwanzo wa HIV nchi hii walikuwa walimu
 
Back
Top Bottom