Anayetaka mke mwalimu

Anayetaka mke mwalimu

ngoja nianze kuzungukia waalimu wa Grade III A!

hapa najua life is made easy!

kaka life easy kabisa mwenyewe hapa nakula shule sijui kulipa kodi ya nyumba, nyumba bure ....ah safi! karibu ....
 
Mwalimu anayeshinda kulalama JF ni janga. Atakuwa hana zile sifa zinazomfanya mwalimu awe mke bora.
 
ndugu hapo umechamsha mke mwema s mwalim bal hutoka kwa bwana jua kila mtu anatabia yake punguza kutafta mke kwenye mitandao utakuja kujuta jua ndoa ndo hatua ya mwisho acha hizo fikra potofu
 
ndugu hapo umechamsha mke mwema s mwalim bal hutoka kwa bwana jua kila mtu anatabia yake punguza kutafta mke kwenye mitandao utakuja kujuta jua ndoa ndo hatua ya mwisho acha hizo fikra potofu

unaposema mke mwema anatoka kwa bwana lazima ufafanue ni bwana yupi...wengine hawaelewi.
 
Mhhh kimbia walimu. Utajuta

Sent from my Nokia Lumia using Tapatalk
 
Wanasikitisha waalimu wa kiume ukikutana nao kwenye daladala, kwanza wanakuwa wanasinzia hovyo kwa uchovu wa kuandaa mkeka, wanpiga mihayo bila haya!, viatu vimekwisha upande mmoja, hakitoa nauli mixer na mchanganyiko wa majina ya wapiga kelele, wadeni wa visheti n.k

Ila waalimu wa kike huwa wana staha, adabu na wenye maadili tofauti na wakiume! Ningependa kupata sample moja ya kike pia!!

Karagabaho!!
 
Waalimu wanakatabia ka ujuaji. Wanadhani kila mtu ni mwanafunzi. Kelele nyingi na amri za hapa ba pale. Usidhani watasaidia watoto wasome hamna. Wengi wanajua somo moja tu. Labda umpende kama yeye na sio kwa taaluma zao.
 
Back
Top Bottom