Mdakuzi mkuu
JF-Expert Member
- Dec 27, 2016
- 212
- 719
Kipindi kimekuwa kigumu mno.Hela hamna,matumizi yaleyale..watoto ada zilezile.Pesa haipatikani, hata kwa mm ambaye siyo fisadi na sitegemei kuwa fisadi.
Usingizi mnono ulikuwa mwisho July 2015. Baada ya hapo mpk leo hii,sina usingizi mnono,naona aibu kulala fofofo nikikoroma na kuota wakati sina hela, na sijui nitapata lini.
Kipindi hiki anayelala usingizi mnono aje atupe siri ya mafanikio