Nyumbani kwa shangazi zake wajinga Tanzania.Hao ni wapenda ccm kinoma
Ni wilaya kongwe sana ila haina maendeleo.Anayepafahamu Wilaya ya sikonge, mkoa wa tabora, Tafadhali naomba unifahamishe jinsi palivyo tabia za wenyeji na mengine mengi unayoyajua tafadhari.
Vipi Tabora kupo poa Sana?Mi niko hapa Tabora mjini na sikonge hua naenda kwa sasa pameanza kupendeza, tofauti na zamani kwa wastani ni pazuri ila siyo mji mkubwa ni wastani
Naam ina misitu ya asili kama mininga na mito mikubwa kama mto kogaNasikia eti asilimia kubwa ya wilayani hiyo imezungukwa na maporini, hivi ni kweli?
Sikonge ni wilaya ya mwaka 1996, ina ukongwe gani?Ni wilaya kongwe sana ila haina maendeleo.
Mkuu, Prof Lipumba ni wa Ilolanguru wilaya ya Uyui.Wenyeji ni Prof Lipumba
Kuna nyoka wengi huko