Anayemjua Fundi Mzuri wa Suti-Dar

Anayemjua Fundi Mzuri wa Suti-Dar

aisee kuna muhindi yupo kariakoo ni noma sana jirani karibu na soko pale wanatazamana na benki moja hivi ipo zinapopaki gari za masaki kariakoo ndo nilishona suti yangu ya harusi
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom