Habari wana JF,kuna Baba mmoja namtafuta anaitwa "RAMADHANI CHENYEWE" anapatikana maeneo ya Tanga-Handeni,simfahamu ila kuna matatizo ya kifamilia yamenikuta...sasa niliagizwa na mtu nimtafute yeye atanisaidia,hivyo naomba kama kuna mtu anayemjua anitafute kwa "
0684192227"...au aniPM tuwasiliane...itakuwa safi nikipata mawasiliano yake,natanguliza shukrani.
au aendelee kusoma gazeti la KIU iko cku atampata.Ingia Google Mkuu, utampata... Au ingia katika web ya chama cha waganga Tanganyika..utampata tu huko.
hujaripia.....
Peleka mambo yako ya kiganga huko wewe, tena ushindwe katika jina la yesu masia