barafu
Kwa kukusaidia tu, unamtafuta yupi kati ya hawa wawili waliomaliza EGM mwaka huo tajwa:
ELIZABERT S ASSEY au ELIZABETH EUGENE ?
Maybe you can start your search from there...
Mungu mkubwa,hilo jina la pili ndo lilikuwa linanipa ugumu ni ELIZABETH EUGENE,Mdada wa kichaga..sina nia mbaya Mungu anajua..ni mdada niliyeishi nae kwa wema wa kimungu,nikapotezana nae baada ya mimi pia kuenda nchi za nje,njoo PM Watu8...n Elizabeth ila kazoeleka Liz....kweli JF ni great forum!
kama huoni ujinga wako hapa basi ndugu yangu samahani ila mimi nakasirika sana
hivi mtu anasema namtafuta neema wa singida is it true kweli hiyo shukle ina neema mmja au lizi mmja ???? Kama ulikuwa hukumbuki ubini au second name sioni umuhimu wa wewe kuweka thread hebu angalia wenzako wanaotafuta watu wao humu kama wamefanana na tangazo lako vitu vingine mnatafutaga kudharaulika wenyewe ,hainiingii akilini kama unajua kusoma na kuandika huwezi reasoni kweli kweli .
nakumbuka twin nimekutumia salamu mara 2 sikuona majibu nikajua umesafiri kwa basi kwenda zanzibar kweli nilikumisi pia ila karibu sana ,nimekuwa na mambo mengi majukumu yananiumiza kichwa nashindwa kuwa active member ,hata FP anajua hilo
heeee!! unanitafutia nini? lol
Mkuu nimetumia njia fupi tu kulipata jina lake, ila sina details zaidi ya hapo
Mkuu KKIII watu8 ni balaa...lakn na yeye anasema hana ukaribu nae wowote
nimecheka sana jamani
loooo wewe umeggoogle kumsaidia jina la pili bado anataka details za ziada kutoka kwako
nimecheka sana jamani
loooo wewe umeggoogle kumsaidia jina la pili bado anataka details za ziada kutoka kwako
barafu lizzy ana dadake anafanya standard chartered anaitwa rose rose pia mume wake mdogo wake ni jirani ya mtoto wa mjomba wa shangazi aliyechangia mama na baba mkubwa aliyechangia baba na mama yangu wa kambo
njoo nikupe contacts zake
Samahanini wandugu...mie namtafuta mdada fulani anaitwa Lizzy....tulimaliza nae Forest Hill Morogoro EGM mwaka 2005 kidato cha sita.....baadae alikuja kwenda UK kimasomo kwa taarifa za mwisho nilizozipata!anayemfahamu au kama anapita hapa..mie namtafuta!Msaada tafadhali
Mungu mkubwa,hilo jina la pili ndo lilikuwa linanipa ugumu ni ELIZABETH EUGENE,Mdada wa kichaga..sina nia mbaya Mungu anajua..
Next time uache uvivu wa kufikiri, kila kitu unataka usaidiwe tu bila kutumia brain cells zako kufanya hata preliminary research..kwenye website ya NECTA ya majibu ya form six ungeweza pata hilo jina lake kamili kisha ukaulizia!