kwanza hakuna jina lizzy duniani badala litoe maJINA MATATU JINGA KWELI KWELIAcha ushamba toa maelezo sahihi. hujawahi kutoa maelezo polisi nini!! akina Lizzy wapo wengi.
kwanza hakuna jina lizzy duniani badala litoe maJINA MATATU JINGA KWELI KWELI
kama huoni ujinga wako hapa basi ndugu yangu samahani ila mimi nakasirika sanamatusi ya nini?kosa langu ni nini wapendwa?anafahamika kama lizi,jina la pili limenitoka...sasa ujinga wangu nini tena?kama nimekosea nielekezwe sio matusi...
daah bahati mbaya mi simfahamu! Ngoja waje wengine!
kosa langu ni nini wapendwa?anafahamika kama Lizi,jina la pili limenitoka...
Ushamba sio tusi mkuu, kubali tu yaishe!!Dah umenitukana bila hata kosa
Naona kasepa. Ila umempa msaada mkubwa sana kwa kuweka majina hayo hadharani.barafu
Kwa kukusaidia tu, unamtafuta yupi kati ya hawa wawili waliomaliza EGM mwaka huo tajwa:
ELIZABERT S ASSEY au ELIZABETH EUGENE ?
Maybe you can start your search from there...
kwanza hakuna jina lizzy duniani badala litoe maJINA MATATU JINGA KWELI KWELI
matusi ya nini?kosa langu ni nini wapendwa?anafahamika kama Lizi,jina la pili limenitoka...sasa ujinga wangu nini tena?kama nimekosea nielekezwe sio matusi...
Naona kasepa. Ila umempa msaada mkubwa sana kwa kuweka majina hayo hadharani.
nakumbuka twin nimekutumia salamu mara 2 sikuona majibu nikajua umesafiri kwa basi kwenda zanzibar kweli nilikumisi pia ila karibu sana ,nimekuwa na mambo mengi majukumu yananiumiza kichwa nashindwa kuwa active member ,hata FP anajua hilonivea, ulipotelea wapi pacha wangu? Vipi kuhusu fp niliwamisi sana ilibaki robo saa nitoe tangazo la kuwatafuta