Foxhound
JF-Expert Member
- Dec 15, 2013
- 28,740
- 76,383
SAVAGE HARVESTWana JF, msaada Kwa anayeifahamu jina la movie Fulani ya zamani sana, watu wanaliwa na kuvamiwa na simba nyumbani kwao. Siikumbuki jina coz niliona miaka ya nyuma sana. Kwa anayeikumbuka au aliyewahi kuiona msaada WA jina la movie tafadhali