Anayekuchagulia mke/ mume ni Mungu

Anayekuchagulia mke/ mume ni Mungu

fimboyaasali

JF-Expert Member
Joined
Jan 14, 2011
Posts
8,606
Reaction score
8,270
Mnaotafuta waume au wake kumbukeni anayechagua ni Mungu, ila anapitia kwako. Unapokuwa na options zaidi ya moja na pale ukisikia sauti inakwambia ni huyu, basi ujue huyo ni Mungu, na please ukiisikia hiyo sauti.

Hapohapo amua na usisite. Ukiogopa kufanya uamuzi njoo inbox nikupe msaada wa mawazo ni bure kabisa.
 
Huu msaada NI kama mbuzi alieangukia kwenye sufuria ya mpika supu🏃🏃🏃

Siwezi kuja inbox buana
Sauti ziko nyingi kwenye hii dunia
1. Sauti tamaa ( umempenda Kwa macho)
2. Sauti Moyo wako ( Moyo NI mdanganyifu na Una mambo ya kufisha)
3. Sauti akili ( unawaza mwenyewe unajijibu mwenyewe humpi Mungu nafasi)
4. Sauti shetani ( anazurura usiku na mchana kukurarua kama Simba)
5. Sauti Marafiki
6. Sauti jamii
7. Sauti wazazi ( familia)

Kusikia sauti ya Mungu sio KAZI ndogo ndugu lazima uwe umewekeza Sana Kwa Mungu Kwa
1. Kusoma Sana neno na kuliweka moyoni
2. Kumfanyia Mungu ibada Kila siku au Kila wiki binafsi nyumbani kwako
3. Kukaa kwenye uwepo WA Mungu Kila siku
4. Kumtumikia Mungu Kila siku, Kila saa
5. Kuwa na Moyo Safi
6. Kuwa na imani dhabiti
7. Kumpenda Mungu, kupenda watu wake na maadui zako kuwaombea Mema Tu

Darasa ninalo mwenyewe, anaetaka aje inbobo (inbox)

Ubarikiwe Mtumishi mpaka ushangae
 
wisdom 📍
 
Mnaotafuta waume au wake kumbukeni anayechagua ni Mungu, ila anapitia kwako. Unapokuwa na options zaidi ya moja na pale ukisikia sauti inakwambia ni huyu, basi ujue huyo ni Mungu, na please ukiisikia hiyo sauti.

Hapohapo amua na usisite. Ukiogopa kufanya uamuzi njoo inbox nikupe msaada wa mawazo ni bure kabisa.
Si kweli. Tamaa zako tu na utashi wako
 
Huu msaada NI kama mbuzi alieangukia kwenye sufuria ya mpika supu[emoji125][emoji125][emoji125]

Siwezi kuja inbox buana
Sauti ziko nyingi kwenye hii dunia
1. Sauti tamaa ( umempenda Kwa macho)
2. Sauti Moyo wako ( Moyo NI mdanganyifu na Una mambo ya kufisha)
3. Sauti akili ( unawaza mwenyewe unajijibu mwenyewe humpi Mungu nafasi)
4. Sauti shetani ( anazurura usiku na mchana kukurarua kama Simba)
5. Sauti Marafiki
6. Sauti jamii
7. Sauti wazazi ( familia)

Kusikia sauti ya Mungu sio KAZI ndogo ndugu lazima uwe umewekeza Sana Kwa Mungu Kwa
1. Kusoma Sana neno na kuliweka moyoni
2. Kumfanyia Mungu ibada Kila siku au Kila wiki binafsi nyumbani kwako
3. Kukaa kwenye uwepo WA Mungu Kila siku
4. Kumtumikia Mungu Kila siku, Kila saa
5. Kuwa na Moyo Safi
6. Kuwa na imani dhabiti
7. Kumpenda Mungu, kupenda watu wake na maadui zako kuwaombea Mema Tu

Darasa ninalo mwenyewe, anaetaka aje inbobo (inbox)

Ubarikiwe Mtumishi mpaka ushangae
Haya maneno hayafanani na hiyo DP
 
Mkuu naona hii kazi ya udalali wa wachumba umeanza kuichukulia serious 🤣😊
 
Mnaotafuta waume au wake kumbukeni anayechagua ni Mungu, ila anapitia kwako. Unapokuwa na options zaidi ya moja na pale ukisikia sauti inakwambia ni huyu, basi ujue huyo ni Mungu, na please ukiisikia hiyo sauti.

Hapohapo amua na usisite. Ukiogopa kufanya uamuzi njoo inbox nikupe msaada wa mawazo ni bure kabisa.
Hapana

Tunajichaguliaga sie wenyewe halafu tunajiaminisha.

Mungu mwenyewe anaonekana kupenda watu wajichagulie mambo yao

Nyie mmekazana tena kukataa majukumu. Ni hivii mke/ mme na maisha kwa ujumla mambo mengi ni matokeo ya machaguo yako mwenyewe.
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom